Ni aina gani ya gari zuri kwa kuvimba nalo hapa mjini?

Yani mzigo almost 80m kabla ya kodi! Ukigongwa kodi ya 60m juu akili lazma ikukae sawa ๐Ÿ˜…!

Unanunua corrolla ya mwaka 2021 kwa 150m, wakati hio hela ukinunua mtumba wa 2009 unaweza fungua yard kabisa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Hawako serious na maisha ya uchumi wa kati aiseee, hizo mpya wawauzie hao hao matajiri....
 
Used zipo mbona tayari ila kwa kuwa TRA wapo kuwafanya muishi kama mashetani ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… utashangaa zinapigwa kodi ya scania
Kama muuzaji kala mil. 5, TRA wanakula mil.7 ya tozo ya uzalendo.....
 
Uzi wa Matajiri huu. Watu kwenye huu uzi hawamiliki aina yeyote ile ya Toyota wao ni Gari za ulimwengu wa Kwanza tu. Hongereni sana wakuu kwa Maendeleo yenu..
 
Uzi wa Matajiri huu. Watu kwenye huu uzi hawamiliki aina yeyote ile ya Toyota wao ni Gari za ulimwengu wa Kwanza tu. Hongereni sana wakuu kwa Maendeleo yenu..
Hizi akili za Chapati ya maji
 
Naomba unisaidie kuulizia pia LC300 na LC 200 VXR V8 mpya
 
Kuna kigari Cha Muitaliano kinaitwa FIAT UNO kina 1200cc na 1500cc. Kinanusa mafuta kama Ist na wakina Passo na kina nguvu Sana.
 
Yani mzigo almost 80m kabla ya kodi! Ukigongwa kodi ya 60m juu akili lazma ikukae sawa [emoji28]!

Unanunua corrolla ya mwaka 2021 kwa 150m, wakati hio hela ukinunua mtumba wa 2009 unaweza fungua yard kabisa [emoji28][emoji28][emoji28]
I guess kuna watu kibao watakuwa wanapitisha magaru bila kulipa ushuru wengi tu
 
Used zipo mbona tayari ila kwa kuwa TRA wapo kuwafanya muishi kama mashetani ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… utashangaa zinapigwa kodi ya scania
Kama mnataka kuagiza gari za umeme basi hamna budi kuchangia ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere ili tupate megawati za kutosha๐Ÿคฃ
 
Chukua mazda cx 9 , hautajutia hat kdogo

sent from HUAWEI
 
Ha
Kama mnataka kuagiza gari za umeme basi hamna budi kuchangia ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere ili tupate megawati za kutosha๐Ÿคฃ
hahahah utashangaa tu Nyerere Hydropower ElectricIty Levy (NHE Levy) 50%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ