BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
UsiogopeTafadhali sana mkuu, nisije kuanguka kwa mshtuko......uchumi wa kati huu yaheee.....
View attachment 1884407
Niite mkulima, mshamba whatever, mimi ndoto yangu ni kumiliki huu mnyama.
Mimi nikishauza pamba yangu kwenye msimu nikivimba kwenye baiskeli yangu ya phoenex siyo mbaya......nakuwa naendesha nimeweka redio yangu sikioni, nikifika center napaki pembeni naagiza mhindi wa kuchoma au muwa...
ChevroletHabari wadau.
Ebu tupeane ushauri ni aina gari ya gari ambayo nikiwa nayo nitavimba hapa mjini?
Ooops! Ugonjwa wanguThe baddest AMG[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 1884740
The fv(l<n namib is the best pick up of all timeView attachment 1884407
Niite mkulima, mshamba whatever, mimi ndoto yangu ni kumiliki huu mnyama.
Which model bro?Chevrolet