Ni aina ipi ya sub woofer ni nzuri?

Ni aina ipi ya sub woofer ni nzuri?

View attachment 1951250
Sp-1002 ndio model yake

2.1 channel
Hi itakua jibu lako
Mashine ina 2ohms bass speaker
Hi ni full digital
Ili idumu muda mrefu fanya yafuatayo
1 usichajie simu sehemu ya frash
2 usiruhusu mende kuingia ndani
3 panya wasiingie ndani hua wanakula speaker
4 usipige muda mrefu ikiwa sauti mwisho
(Yaan masaa6,7) mala kwa mala
Usiongeze speaker zingine zaidi ya zile ilizokuja nazo
Faida yake n kua full digital operations
Pia ina muonekano bomba wakupendeza
Musiywake n kubwa mzito wa radha
Ikiharibika huitaji kutengeneza kitu[emoji23]
Ndani ina ramani mbili tu
1transfoma
2 amplifier
Ambazo ikiungua tansfoma utanunua utapachika tu
Sawa na amp pia unanunua unapachika tu kama kawaida

shukran sana boss

hivi hizi channels 2.1, 5.1 na 7.1 tofauti yake ni nn?
 
Specification
Kuelezea aina ya music system unayonunua

2.1 maana yake itakua na surround mbili na na bass moja ile inayodunda
5.1 itakua na surround5 na bass moja
7.1 hivyo hivyo
2.0 ni HIFI SOUND SYSTEM
Nyingi ya hizi huwa ni home theater
 
Tafuta geepas, zipo vizuri. Ninayo hapa sauti mwisho 30 ila sijawahi kuvuka 5. Na mziki mzuri upo smooth.
 
Hi hapa boss mwisho wa matatizo sea piano
PicsArt_08-17-10.44.12.jpg
 
Back
Top Bottom