Ni ajabu hawa watu wana PhDs lakini ni Wapumbavu kabisa

Wewe unamjua Mungu kwa vile kaandikwa kwenye Biblia au kwasababu ya moyoni mwako? Mkikaa kwenye mjadala utakuta wana hoja kuliko wewe! Sanasana wewe utaanza sijui nimefunuliwa!
 
Kazi zao ni za ki sayansi, si kama mziki unaamua upende au kutopenda kulingana na melody, ryrics, genre.
 
Aliyekwambia elimu inafuta upumbavu ni nani? Kazi ya elimu ni kufuta ujinga tu
 
Wewe unamjua Mungu kwa vile kaandikwa kwenye Biblia au kwasababu ya moyoni mwako? Mkikaa kwenye mjadala utakuta wana hoja kuliko wewe! Sanasana wewe utaanza sijui nimefunuliwa!
Namjua Mungu kuliko unavyofikiri. Dawkins hawezi kukemea pepo wakatoka. Watamrarua. Mimi shetani ananifahamu. Akija kwangu nikitamka tu: "Kwa Jina la Yesu, tokaaaa..." Shetani huyooo anakimbia!

Onjeni muone jinsi BWANA alivyo mwema
 
Thanks,. Kwenye Neno uko vizuri sana kwani unauwezo wa kuandika kitu na kukihusianisha na vifungu vya Biblia, Congratulations. Hivi wewe ni Mshirika wa kawaida? Mwalimu? au Mwinjilisti?.
 
ukielewa kwamba binadamu ni roho hutakuwa na maswali juu ya uwepo wa MUNGU .kama binadamu aliumbwa kwa mfano wa MUNGU basi na MUNGU ni roho pia,roho ni kitu ambacho hakionekani kwa macho ya kawaida,,kila kitu kinachanzo chake kilichofanya kuwepo huwezi sema tulitokea duniani tu kwa bahati mbaya
 
Atakuwa anaunguaje na siku ya hukumu bado? Au ilifanyika jana?
 

Amen. Ubarikiwe mtumishi kwa huduma hii njema sana!
 
Binafsi naamini uwepo wa mungu. Naomba nihadithie kisa kimoja Cha mshikaji wangu mtu wa kanisa sana. Katika stori wiki mbili zilizopita aliniambia jambo ambalo nalijua lakini sikutegemea yeye aseme! Kwamba dini zililetwa kwetu Afrika kwasababu ya kutufundisha unyenyekevu dhidi ya waliokuwa wanyonyaji wetu, si wazungu tu hata Waarabu ndo maana walipokuja waliendelea kutunyonya wakitumia dini kama fimbo ya kutuchapa tusi -rise riot!

Pia akanambia dini Kwa namna flani zimeleta ustaarabu wa maisha yetu ya kisasa, tusiuane, tupendane nk. But kiukweli hata Afrika tulikuwa na dini ambazo watu waliomba mvua zikanyesha, waliomba ndoa, ujauzito Kwa mungu wao wakapata!

Africa tulikubali dini hizi ni nzuri but wenzetu wa bara Hindi, Japan ns Uchina wao walin'gan'gana na dini zao za asili ambazo huwasaidia na hujibiwa Kwa haraka wakimuomba mungu wao pia.
Hebu fikiria huyu ng'ombe tunayemla akichinjwa huku Afrika Kule Uhindi ni mungu wao anayewaletea na kujaalia neema kedekede.
 
Aliyekwambia elimu inafuta upumbavu ni nani? Kazi ya elimu ni kufuta ujinga tu
PhD zao hazijafuta ujinga wao. Wana PhD lakini hawajui dunia ilianzaje. Hawajui kuwa Mungu yupo.

Hivyo bado ni wajinga + wapumbavu.

Mithali 1:7: "Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa, bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.”
 
what is religion?

Dini ni taratibu walizojiwekea wanadamu wakijaribu kumtafuta Mungu. Huwa wanatumia akili kumtafuta Mungu.

Kristo hakuleta dini duniani, Bali wokovu. Alikuja kutuokoa tuliopotea. Kristo alipokuja alikuta dini duniani za Kiyahudi - Mafarisayo na Masadukayo. Watu Hawa wa dini hawakuwa wanamwelewa Kristo. Hata leo watu wa dini huwa hawamwelewi Kristo.

Fuata hiyo Sala ya mtumishi Setfree hapo juu kwa kumaanisha kisha utapokea Wokovu na Roho wa Mungu atakufunulia mengi ambayo akili yako kamwe haiwezi kuyaelewa!

karibu kwenye ufalme
 
Unaweza kuwa mtu wa Kanisa kumbe unasindikiza tu wengine kwenda mbinguni.
 
Sidhani kama utakuwa sahihi, mtu kama karl marx aliitendea haki phd yake kwa kujenga hoja ambazo mpka leo zinaesha mashiko yake (marx's theories of life) sasa hapa bongo kuna phd ngapi tumezipa kazi serikalini na hakuna cha maana? Hao una haki ya kuwaita wapumbafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…