Ni ajabu hawa watu wana PhDs lakini ni Wapumbavu kabisa

Ni ajabu hawa watu wana PhDs lakini ni Wapumbavu kabisa

Whether Mungu, MUNGU, muNGU, MUngu, mungu, nk bado maana ni ile ile
Soma Biblia, mkuu. Ukisema mungu unamaanisha shetani. Angalia tofauti ya mungu na Mungu katika Andiko hili:
2 Wakorintho 4:4 (SRUV)
"...ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikra zao wasioamini, wasiione nuru ya Injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu."
 
Unawaongelea kiwete na kiziwi gani, waliopona lini, wapi na kwa njia gani?
Viwete.jpg
 
Namjua Mungu kuliko unavyofikiri. Dawkins hawezi kukemea pepo wakatoka. Watamrarua. Mimi shetani ananifahamu. Akija kwangu nikitamka tu: "Kwa Jina la Yesu, tokaaaa..." Shetani huyooo anakimbia!

Onjeni muone jinsi BWANA alivyo mwema
😏 si ndo hayo nilikuwa nasema! Shetani ulishawahi kumuona anakimbia? Kwahiyo kukemea shetani akatoka wakati changamoto kibao za maisha zinakukabili weww na hao wanaokutegemea sioni tofauti. Walokole tumekalia kukemea pepo baasi wakati mambo mengi ya maisha tunatia aibu!
 

Hayo ni Maigizo ya Mwamposa style yanayotokea pale Kawe viwanja vya Tanganyika Parkers, Dar!

Na huu ndio mfano hai wa tabia ya viongozi wa dini kuendekeza ushirikina (superstition) badala ya kupenyeza sayansi na tekinolojia kwenye huduma zao.

Yaani kuamini katika uwepo wa mnyororo wa sababu na matokeo pasipo ushahidi thabiti.

Naona somo la falsafa kwa walei limecheleweshwa sana kwa sababu ya kulinda ujinga huu unaokiuka hadhi ya kiutu.

Lkn pia sheria zetu zina walakini kwa kushindwa kutoa fasili ya kisheria ya dini ili kuzitifautisha dini na ujambazi wa ushirikina
 
Africa tulikubali dini hizi ni nzuri but wenzetu wa bara Hindi, Japan ns Uchina wao walin'gan'gana na dini zao za asili ambazo huwasaidia na hujibiwa Kwa haraka wakimuomba mungu wao
Waafrika mliokumbatia upumbavu wa wazungu mnamafanikio gani kama wa asia waliobaki na utamaduni wao..?
 
Kuna watu wana elimu ya juu kabisa, wana PhD, lakini ni wapumbavu wa kutupwa. Hebu leo tuangalie baadhi yao:

Richard Dawkins (PhD in Biology). Huyu ameshinda tuzo nyingi kwa kazi zake za sayansi, lakini anatumia muda mwingi kuhubiri kuwa Mungu hayupo. Anasema maisha yalitokea kwa bahati tu!

Lawrence Krauss (PhD in Theoretical Physics) - ameandika kitabu "A Universe from Nothing," akidai eti the universe can originate without a divine creator. Katika kitabu hicho, hana hoja za maana, anazungusha zungusha tu maneno.

Karl Marx (PhD in Philosophy). Huyu alikuwa staunch atheist. Ndiye aliyepandikiza sumu ya Ukomunisti, akifundisha kwamba dini ni "opium ya watu." Matokeo yake? Mamilioni walikufa kwa sababu ya mawazo yake potofu.

Hao watu Mungu anawaita “Wapumbavu”
"Wapumbavu hujisemea moyoni: “Hakuna Mungu.” – Zaburi 14:1(BHN)

Kumbe mtu anaweza kuwa na PhD, lakini kama anadai kwamba Mungu hayupo, mtu huyo ni MPUMBAVU kabisa mbele za Mungu.

Mungu kama anakuita Mpumbavu, unatarajia nini?
Aliekwambia phds hawana upumbavu n nani tuanzie hapa kwanza

Na aliekwambia WASIO na phds ndio wapumbavu

Nan kakujaza huu upumbavu
 
Kwa Dunia ya Sasa ukisema hakuna MUNGU wewe ni mpumbavu kabisa hatakama ni mwanasayansi mwenyewe professorial, nitakuuliza unipe sayansi ya kiwete kutembea Kwa Maombi ya siku Moja na bubu kuongea Kwa siku Moja bila dawa ya aina yeyote.
Mbona mmeishia kwa bubu mmoja tuu, Tanzania kuna mabubu wangapi..?
 
sawa sasa kama dini ni utaratibu wa mwanadamu kumtafuta Mungu, je, huo utaratibu unakubalika mbele za Mungu au haukubaliki?
shetani yuko kwenye dini mzima mzima. Ndio maana kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi ni lazima ikiwa mtu hataki kuangamia. Kuzaliwa mara ya pili (KUOKOKA) ni lazima ili mtu auone Ufalme wa Mungu.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
shetani yuko kwenye dini mzima mzima. Ndio maana kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi ni lazima ikiwa mtu hataki kuangamia. Kuzaliwa mara ya pili (KUOKOKA) ni lazima ili mtu auone Ufalme wa Mungu.

JESUS IS LORD&SAVIOR
Haujajibu swali, huo utaratibu wa mwanadamu aliojiwekea kumtafuta Mungu, je Mungu anaukubali?
 
Ukosahihi kabisa zaburi 14: 1-2.
Yeah;
Wanasayansi au watu baadhi wanaeza kuitwa wapumbavu kwa kusema moyoni mwao ati hakuna Mungu : wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, hawafikirii kutenda mema/hawatendi mema.
 
Elimu ya dunia haiwezi kuyaelewa mambo ya Rohoni.
Mtume Paulo anasema, "Mtu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake ni upuzi" (1 Wakorintho 2:14)

Umeandika:

"Elimu ya dunia haiwezi (kukusaidia) kuyaelewa mambo ya rohoni."

Mambo ya rohoni ni kitu gani?

Elimu ya dunia inajishughulisha na mambo gani?

Najaribu kuelewa ujumbe wako lakini napata shida.

Kawaida mambo ya mwili ni yale tunayaelewa kwa njia ya milango mitano ya fahamu.

Na mambo ya kiroho ni yale tunayaelewa kwa njia ya kimantiki (logical deductions and logical inductions) baada ya kupata taarifa kwa kutumia milango mitano ya fahamu.

Yote haya yanahusika kwenye elimu ya dunia.

Weka sawa ujumbe wako ili kuboresha mjadala.
 
Haujajibu swali, huo utaratibu wa mwanadamu aliojiwekea kumtafuta Mungu, je Mungu anaukubali?
hawezi kuukubali kwa sababu sio mpango wake. Mpango wake ni WOKOVU. Dini sio mpango wa Mungu hata kidogo! Huwaoni watu wa kwenye dini wakiburuzwa na dhambi bila huduma?!
 
Aliyeanza kuwaita hivyo ni Mungu. Mimi nime-quote Neno la Mungu. Ni wapumbavu kwa sababu PhD zao haziwezi hata kuzuia wasizeeke.
Unabishana hivyo wakati umeshika Simu iloundwa na hao unaowaita wajinga, Kwanini usichat kwa kutumia Biblia ya mungu wako anaeweza kila kitu.
 
Back
Top Bottom