Soma Biblia, mkuu. Ukisema mungu unamaanisha shetani. Angalia tofauti ya mungu na Mungu katika Andiko hili:Whether Mungu, MUNGU, muNGU, MUngu, mungu, nk bado maana ni ile ile
😏 si ndo hayo nilikuwa nasema! Shetani ulishawahi kumuona anakimbia? Kwahiyo kukemea shetani akatoka wakati changamoto kibao za maisha zinakukabili weww na hao wanaokutegemea sioni tofauti. Walokole tumekalia kukemea pepo baasi wakati mambo mengi ya maisha tunatia aibu!Namjua Mungu kuliko unavyofikiri. Dawkins hawezi kukemea pepo wakatoka. Watamrarua. Mimi shetani ananifahamu. Akija kwangu nikitamka tu: "Kwa Jina la Yesu, tokaaaa..." Shetani huyooo anakimbia!
Onjeni muone jinsi BWANA alivyo mwema
😂😂😂😂 acha ufala basiMimi shetani ananifahamu.
Waafrika mliokumbatia upumbavu wa wazungu mnamafanikio gani kama wa asia waliobaki na utamaduni wao..?Africa tulikubali dini hizi ni nzuri but wenzetu wa bara Hindi, Japan ns Uchina wao walin'gan'gana na dini zao za asili ambazo huwasaidia na hujibiwa Kwa haraka wakimuomba mungu wao
Aliekwambia phds hawana upumbavu n nani tuanzie hapa kwanzaKuna watu wana elimu ya juu kabisa, wana PhD, lakini ni wapumbavu wa kutupwa. Hebu leo tuangalie baadhi yao:
Richard Dawkins (PhD in Biology). Huyu ameshinda tuzo nyingi kwa kazi zake za sayansi, lakini anatumia muda mwingi kuhubiri kuwa Mungu hayupo. Anasema maisha yalitokea kwa bahati tu!
Lawrence Krauss (PhD in Theoretical Physics) - ameandika kitabu "A Universe from Nothing," akidai eti the universe can originate without a divine creator. Katika kitabu hicho, hana hoja za maana, anazungusha zungusha tu maneno.
Karl Marx (PhD in Philosophy). Huyu alikuwa staunch atheist. Ndiye aliyepandikiza sumu ya Ukomunisti, akifundisha kwamba dini ni "opium ya watu." Matokeo yake? Mamilioni walikufa kwa sababu ya mawazo yake potofu.
Hao watu Mungu anawaita “Wapumbavu”
"Wapumbavu hujisemea moyoni: “Hakuna Mungu.” – Zaburi 14:1(BHN)
Kumbe mtu anaweza kuwa na PhD, lakini kama anadai kwamba Mungu hayupo, mtu huyo ni MPUMBAVU kabisa mbele za Mungu.
Mungu kama anakuita Mpumbavu, unatarajia nini?
Mbona mmeishia kwa bubu mmoja tuu, Tanzania kuna mabubu wangapi..?Kwa Dunia ya Sasa ukisema hakuna MUNGU wewe ni mpumbavu kabisa hatakama ni mwanasayansi mwenyewe professorial, nitakuuliza unipe sayansi ya kiwete kutembea Kwa Maombi ya siku Moja na bubu kuongea Kwa siku Moja bila dawa ya aina yeyote.
shetani yuko kwenye dini mzima mzima. Ndio maana kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi ni lazima ikiwa mtu hataki kuangamia. Kuzaliwa mara ya pili (KUOKOKA) ni lazima ili mtu auone Ufalme wa Mungu.sawa sasa kama dini ni utaratibu wa mwanadamu kumtafuta Mungu, je, huo utaratibu unakubalika mbele za Mungu au haukubaliki?
Haujajibu swali, huo utaratibu wa mwanadamu aliojiwekea kumtafuta Mungu, je Mungu anaukubali?shetani yuko kwenye dini mzima mzima. Ndio maana kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi ni lazima ikiwa mtu hataki kuangamia. Kuzaliwa mara ya pili (KUOKOKA) ni lazima ili mtu auone Ufalme wa Mungu.
JESUS IS LORD&SAVIOR
Elimu ya dunia haiwezi kuyaelewa mambo ya Rohoni.
Mtume Paulo anasema, "Mtu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake ni upuzi" (1 Wakorintho 2:14)
hawezi kuukubali kwa sababu sio mpango wake. Mpango wake ni WOKOVU. Dini sio mpango wa Mungu hata kidogo! Huwaoni watu wa kwenye dini wakiburuzwa na dhambi bila huduma?!Haujajibu swali, huo utaratibu wa mwanadamu aliojiwekea kumtafuta Mungu, je Mungu anaukubali?
Unabishana hivyo wakati umeshika Simu iloundwa na hao unaowaita wajinga, Kwanini usichat kwa kutumia Biblia ya mungu wako anaeweza kila kitu.Aliyeanza kuwaita hivyo ni Mungu. Mimi nime-quote Neno la Mungu. Ni wapumbavu kwa sababu PhD zao haziwezi hata kuzuia wasizeeke.