We nyege zinakusumbua huna uhakika na habari afu unatuletea sisi. Yesu ni nani kwa wa Iran zaidi ya Mtume tu. Hivi unadhani wa Iran ni vichaa kama weweHabari hii sijaichakachua. Nairipoti kama nilivyoisikia. Tazama source ujiridhishe.
Habari kutoka Iran zinasema kwamba misikiti mingi sana(kwa maelfu) katika nchi ya Iran imefungwa na mamilioni ya watu wameamua kuacha Uislamu na kumfuata Yesu.
Ripoti hiyo imetolewa na Human Khalil, aliyezaliwa Iran katika familia ya Kiislamu.
Khalil anasema kwamba mapinduzi haya ya kiimani hayajawahi kushuhudiwa kwa miaka 40 iliyopita. Ajabu ni kwamba mapinduzi hayo yameanzishwa na wanawake waliosema "Imetosha sasa"(enough is enough).
Khalil anaeleza kwamba hata shirika la habari la All Arab News limetangaza habari hiyo. Shirika hilo likimnukuu kiongozi mmoja wa kidini wa Iran, limesema kwamba, misikiti kati ya 50,000 hadi 75,000 imefungwa.
Khalil anaeleza tena kwamba, kufungwa kwa misikiti hiyo, kulianza wakati wanawake walipokataa kuvaa hijab. Watu walipoona wanawake wakipigwa risasi kichwani, kufunikwa uso na kuchapwa viboko hadharani, kunyongwa na kutundikwa mitaani, kwa kosa la kutokuvaa hijab, waliona haina sababu ya kuendelea na dini hiyo.
Inakadiriwa kwamba kuna Wakristo milioni 10 wanaofanya ibada zao kwa siri nchini Iran, kwa sababu wakijulikana tu wameacha Uislamu, sheria za dini hiyo zinasema lazima wauawe.
Source: CBN News
View: https://www.youtube.com/watch?v=dDAMvTWZseo
Sasa hasira za nini, mkuu. Ingependeza zaidi kama ungeipinga habari hiyo kwa data. Uonyeshe kwamba hakuna hata msikiti mmoja uliofungwa. Vinginevyo weka habari hii kwenye jamii check ifanyiwe uchunguzi tujue kama kuna ukweli au la.We nyege zinakusumbua huna uhakika na habari afu unatuletea sisi. Yesu ni nani kwa wa Iran zaidi ya Mtume tu. Hivi unadhani wa Iran ni vichaa kama wewe
Kwani wewe ukisikia habari Al Jazeera huwa unahakikisha kwanza kama ni za kweli, kabla ya kuwaambia wengine?We nyege zinakusumbua huna uhakika na habari afu unatuletea sisi. Yesu ni nani kwa wa Iran zaidi ya Mtume tu. Hivi unadhani wa Iran ni vichaa kama wewe
ni kosa kisheria kuingiza mambo yasiyo ya kiimani kwenye thread ihusuyo mambo ya kiimani
We ndio ungeleta information uliye leta hi habari, utupe chanzo cha habari kime toka wapi, afu ndio tuje na details. We huna dalili ya habari afu tukupinge kwa hoja ipi zaidi ya hayo maneno nilio ongea.Sasa hasira za nini, mkuu. Ingependeza zaidi kama ungeipinga habari hiyo kwa data. Uonyeshe kwamba hakuna hata msikiti mmoja uliofungwa. Vinginevyo weka habari hii kwenye jamii check ifanyiwe uchunguzi tujue kama kuna ukweli au la.
Sawa mkuuni kosa kisheria kuingiza mambo yasiyo ya kiimani kwenye thread ihusuyo mambo ya kiimani
Al Jazeera utafananisha na hizo habari zako hazina sourceKwani wewe ukisikia habari Al Jazeera huwa unahakikisha kwanza kama ni za kweli, kabla ya kuwaambia wengine?
Mtume gani wa huko Iran!??We nyege zinakusumbua huna uhakika na habari afu unatuletea sisi. Yesu ni nani kwa wa Iran zaidi ya Mtume tu. Hivi unadhani wa Iran ni vichaa kama wewe
Gen Z wetu wana safari ndefu sana aisee
Acha mzaha kwenye mambo ya msingi
Mtume yupi sasa imam husen au Muhammad?We nyege zinakusumbua huna uhakika na habari afu unatuletea sisi. Yesu ni nani kwa wa Iran zaidi ya Mtume tu. Hivi unadhani wa Iran ni vichaa kama wewe
Kuna uamsho mkubwa sana unakuja dunia nzima na kuna maeneo taratiibu umeanza ambapo watu wengi sana watatubu dhambi zao na kumkubali Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yao. Hata hawa member wa JF wanaobeza nao wengi tu watamkubali Yesu na watakuwa ushuhuda.Habari hii sijaichakachua. Nairipoti kama nilivyoisikia. Tazama source ujiridhishe.
Habari kutoka Iran zinasema kwamba misikiti mingi sana(kwa maelfu) katika nchi ya Iran imefungwa na mamilioni ya watu wameamua kuacha Uislamu na kumfuata Yesu.
Ripoti hiyo imetolewa na Hooman Khalil, aliyezaliwa Iran katika familia ya Kiislamu.