Ni ajabu na kweli: Mamilioni ya watu wa Iran wamgeukia Yesu!

We ndio ungeleta information uliye leta hi habari, utupe chanzo cha habari kime toka wapi, afu ndio tuje na details. We huna dalili ya habari afu tukupinge kwa hoja ipi zaidi ya hayo maneno nilio ongea.
Duh, hujaona source ya habari. Uko usingizini, au?
 
Nikiwambia wakanisa ni makenge mnabisha, rudi kasome nimeongelea Yesu hata hamuelewi nilicho andika 😂
Yesu: Issa bin Mariam, Adam, Idirisa,Nuhu,Ibrahim, Ismail,Isihaka,yakub, Yusuf, Mussa, Daudi, Suleiman,Zakaria,Yahaya yohana, Yesu Issa bin Mariam,Nabi Mohammed (saw)Mbona wako Msikitini
Hakuna haja yakuwatafuta kanisani
 
Duh, hujaona souce ya habari. Uko usingizini, au?
Hio source labda kutoka chumbani kwa Trump au Netanyahu hizo ni fake story kama kawaida zenu, mlivyo tunga fake hadithi kuharibu Uislam na siku zote uwongo wenu unakwama hamfanikiwi tokea 2023 mnatunga uwongo huo bado hamchoki na hamuoni aibu.

Hizi news tokea 2023 na bado mnaziendeleza tu na zote ni uwongo mtupu.

50,000 mosques have closed in Iran - Are Iranians seeking truth outside of Islam? - All Arab News 50,000 mosques have closed in Iran - Are Iranians seeking truth outside of Islam? - All Arab News
 
Kuna uamsho mkubwa sana unakuja dunia nzima na kuna maeneo taratiibu umeanza ambapo watu wengi sana watatubu dhambi zao na kumkubali Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yao. Hata hawa member wa JF wanaobeza nao wengi tu watamkubali Yesu na watakuwa ushuhuda.
Nchi ambazo wokovu imekuwa ngumu kupenya hatimaye utapenya hapa namaanisha nchi kama hiyo Iran, North Korea, China, Russia.
Kuna watu wanaenda kuwa decamillionaires from kudharauliwa na kuonekana masikini na huo utajiri utaenda kufanya kazi ya Mungu yaaoni kuhubiri habari njema ya Yesu Kristo.
Makanisa yatajaa watu kiasi ya kwamba yataelemewa.
Transgenders, Gays, Lesbians, Musicians, Actors tena wale wakubwa kama wa holywood n.k wataokoka mpaka watu watashangaa.
By the way population ya wakristo ni kubwa kuliko ya Muslims na kwa maana ya born again christian watazidi kuwa wengi kupindukia.
Amina 🙏🙏
 
Mathayo 3:2
Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.
Kwa hio wewe unaenda peponi kwa kusema Yesu ni Mungu au hahaha, wewe ni mshirikina una mfananisha Mungu na Yesu mtoto wa Mariam.

We vaa shangaa za kiunoni tu zitakupeleka kwenye pepo unayo itaka, lakini.pepo ya Mungu sahau.
 
Habari hii sijaichakachua. Nairipoti kama nilivyoisikia. Tazama source ujiridhishe.

Habari kutoka Iran zinasema kwamba misikiti mingi sana(kwa maelfu) katika nchi ya Iran imefungwa na mamilioni ya watu wameamua kuacha Uislamu na kumfuata Yesu.

Ripoti hiyo imetolewa na Hooman Khalil, aliyezaliwa Iran katika familia ya Kiislamu.

Khalil anasema kwamba mapinduzi haya ya kiimani hayajawahi kushuhudiwa kwa miaka 40 iliyopita. Ajabu ni kwamba mapinduzi hayo yameanzishwa na wanawake waliosema "Imetosha sasa"(enough is enough).

Khalil anaeleza kwamba hata shirika la habari la All Arab News limetangaza habari hiyo. Shirika hilo likimnukuu kiongozi mmoja wa kidini wa Iran, limesema kwamba, misikiti kati ya 50,000 hadi 75,000 imefungwa.

Khalil anaeleza tena kwamba, kufungwa kwa misikiti hiyo, kulianza wakati wanawake walipokataa kuvaa hijab. Watu walipoona wanawake wakipigwa risasi kichwani, kufunikwa uso na kuchapwa viboko hadharani, kunyongwa na kutundikwa mitaani, kwa kosa la kutokuvaa hijab, waliona haina sababu ya kuendelea na dini hiyo.

Inakadiriwa kwamba kuna Wakristo milioni 10 wanaofanya ibada zao kwa siri nchini Iran, kwa sababu wakijulikana tu wameacha Uislamu, sheria za dini hiyo zinasema lazima wauawe.

Source: CBN News

View: https://www.youtube.com/watch?v=dDAMvTWZseo

Barikiwa sana kwa habari njema inabidi Makafiri watumikie adhabu Kali sana ili wamkubali YESU KUWA NDIYE NJIA YA UKWELI NA UZIMA
 
adriz Covax Adiosamigo Makonde plateu
 
Amina sasa wairan wameujua ukweli na kuachana na uongo 🙏🙏
 
Utamaduni wa kiarabu ambao kwa asilimia mia moja ndiyo uislamu ni mfumo wa maisha ambao asili yake ni waarabu wa kale walioishi karne nyingi zilizopita.

Sasa kwa mtindo wao huo wa maisha wa wakati huo kuuleta kwa jamii ya watu wa leo kwamba wauishi huo mfumo wa maisha inakuwa ni tatizo kubwa sana na kwa mantiki hiyo ndio maana jamii ya waarabu hupenda sana kutafuta namna ya kuondoka kwenye mataifa yao na kukimbilia katika nchi za magharibi.

Kuna ukweli kwamba jamii hiyo ya kiarabu inayokimbilia nchi za magharibi takriban asilimia 80 huachana kabisa na hiyo dini na kuacha kabisa kurejea kwenye nchi zao za asili kwa sababu waga wameshaachana na uislam hivyo huogopa kuhukumiwa adhabu ya kifo kwa mujibu wa sheria za kiislam pale unapoikana imani hiyo.
 
Kwa hio misikiti 50000 iliyogeuzwa makanisa alaf bdo watu Wana swali kwa siri?
Mbona hueleweki Asa hayo makanisa 50 elf jumapil wanaenda kina nan kama wanafanya siri
Habari hii sijaichakachua. Nairipoti kama nilivyoisikia. Tazama source ujiridhishe.

Habari kutoka Iran zinasema kwamba misikiti mingi sana(kwa maelfu) katika nchi ya Iran imefungwa na mamilioni ya watu wameamua kuacha Uislamu na kumfuata Yesu.

Ripoti hiyo imetolewa na Hooman Khalil, aliyezaliwa Iran katika familia ya Kiislamu.

Khalil anasema kwamba mapinduzi haya ya kiimani hayajawahi kushuhudiwa kwa miaka 40 iliyopita. Ajabu ni kwamba mapinduzi hayo yameanzishwa na wanawake waliosema "Imetosha sasa"(enough is enough).

Khalil anaeleza kwamba hata shirika la habari la All Arab News limetangaza habari hiyo. Shirika hilo likimnukuu kiongozi mmoja wa kidini wa Iran, limesema kwamba, misikiti kati ya 50,000 hadi 75,000 imefungwa.

Khalil anaeleza tena kwamba, kufungwa kwa misikiti hiyo, kulianza wakati wanawake walipokataa kuvaa hijab. Watu walipoona wanawake wakipigwa risasi kichwani, kufunikwa uso na kuchapwa viboko hadharani, kunyongwa na kutundikwa mitaani, kwa kosa la kutokuvaa hijab, waliona haina sababu ya kuendelea na dini hiyo.

Inakadiriwa kwamba kuna Wakristo milioni 10 wanaofanya ibada zao kwa siri nchini Iran, kwa sababu wakijulikana tu wameacha Uislamu, sheria za dini hiyo zinasema lazima wauawe.

Source: CBN News

View: https://www.youtube.com/watch?v=dDAMvTWZseo
 
hicho kibinti nyege za kanisani zinamsumbua, hizo ni fake news tokea 2023
Muombe radhi kwa ☝🏽 maneno yako
Maana imeandikwa
Surah Al-Furqan (25), aya ya 63:

"Na waja wa Ar-Rahman ni wale wanaotembea juu ya ardhi kwa unyenyekevu, na wanapohutubiwa na wajinga husema: *Salama."*

Kwa Kiarabu:

وَعِبَادُ الرَّحْمَـٰنِ الَّذِينَ يَمْشُونَ عَلَى الْأَرْضِ هَوْنًا وَإِذَا خَاطَبَهُمُ الْجَاهِلُونَ قَالُوا سَلَامًا

Tumia maneno mazuri na malaini huyo nibinaadam hatakama amekosea.
 
Mathayo 3:2
Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.
2 thousand years imepita, ilikuwa ni breking news time hizo hakuna umeme, what are you talking about? kuna Maandishi mengine ni ya kuyaacha we need update
 
IMG_20250708_233340.jpg
 
Back
Top Bottom