Ni ajabu na kweli: Mamilioni ya watu wa Iran wamgeukia Yesu!

We ndio ungeleta information uliye leta hi habari, utupe chanzo cha habari kime toka wapi, afu ndio tuje na details. We huna dalili ya habari afu tukupinge kwa hoja ipi zaidi ya hayo maneno nilio ongea.
Duh, hujaona source ya habari. Uko usingizini, au?
 
Nikiwambia wakanisa ni makenge mnabisha, rudi kasome nimeongelea Yesu hata hamuelewi nilicho andika ๐Ÿ˜‚
Yesu: Issa bin Mariam, Adam, Idirisa,Nuhu,Ibrahim, Ismail,Isihaka,yakub, Yusuf, Mussa, Daudi, Suleiman,Zakaria,Yahaya yohana, Yesu Issa bin Mariam,Nabi Mohammed (saw)Mbona wako Msikitini
Hakuna haja yakuwatafuta kanisani
 
Duh, hujaona souce ya habari. Uko usingizini, au?
Hio source labda kutoka chumbani kwa Trump au Netanyahu hizo ni fake story kama kawaida zenu, mlivyo tunga fake hadithi kuharibu Uislam na siku zote uwongo wenu unakwama hamfanikiwi tokea 2023 mnatunga uwongo huo bado hamchoki na hamuoni aibu.

Hizi news tokea 2023 na bado mnaziendeleza tu na zote ni uwongo mtupu.

50,000 mosques have closed in Iran - Are Iranians seeking truth outside of Islam? - All Arab News 50,000 mosques have closed in Iran - Are Iranians seeking truth outside of Islam? - All Arab News
 
Amina ๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Mathayo 3:2
Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.
Kwa hio wewe unaenda peponi kwa kusema Yesu ni Mungu au hahaha, wewe ni mshirikina una mfananisha Mungu na Yesu mtoto wa Mariam.

We vaa shangaa za kiunoni tu zitakupeleka kwenye pepo unayo itaka, lakini.pepo ya Mungu sahau.
 
Barikiwa sana kwa habari njema inabidi Makafiri watumikie adhabu Kali sana ili wamkubali YESU KUWA NDIYE NJIA YA UKWELI NA UZIMA
 
adriz Covax Adiosamigo Makonde plateu
 
Amina sasa wairan wameujua ukweli na kuachana na uongo ๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Utamaduni wa kiarabu ambao kwa asilimia mia moja ndiyo uislamu ni mfumo wa maisha ambao asili yake ni waarabu wa kale walioishi karne nyingi zilizopita.

Sasa kwa mtindo wao huo wa maisha wa wakati huo kuuleta kwa jamii ya watu wa leo kwamba wauishi huo mfumo wa maisha inakuwa ni tatizo kubwa sana na kwa mantiki hiyo ndio maana jamii ya waarabu hupenda sana kutafuta namna ya kuondoka kwenye mataifa yao na kukimbilia katika nchi za magharibi.

Kuna ukweli kwamba jamii hiyo ya kiarabu inayokimbilia nchi za magharibi takriban asilimia 80 huachana kabisa na hiyo dini na kuacha kabisa kurejea kwenye nchi zao za asili kwa sababu waga wameshaachana na uislam hivyo huogopa kuhukumiwa adhabu ya kifo kwa mujibu wa sheria za kiislam pale unapoikana imani hiyo.
 
Kwa hio misikiti 50000 iliyogeuzwa makanisa alaf bdo watu Wana swali kwa siri?
Mbona hueleweki Asa hayo makanisa 50 elf jumapil wanaenda kina nan kama wanafanya siri
 
hicho kibinti nyege za kanisani zinamsumbua, hizo ni fake news tokea 2023
Muombe radhi kwa โ˜๐Ÿฝ maneno yako
Maana imeandikwa
Surah Al-Furqan (25), aya ya 63:

"Na waja wa Ar-Rahman ni wale wanaotembea juu ya ardhi kwa unyenyekevu, na wanapohutubiwa na wajinga husema: *Salama."*

Kwa Kiarabu:

ูˆูŽุนูุจูŽุงุฏู ุงู„ุฑูŽู‘ุญู’ู…ูŽู€ูฐู†ู ุงู„ูŽู‘ุฐููŠู†ูŽ ูŠูŽู…ู’ุดููˆู†ูŽ ุนูŽู„ูŽู‰ ุงู„ู’ุฃูŽุฑู’ุถู ู‡ูŽูˆู’ู†ู‹ุง ูˆูŽุฅูุฐูŽุง ุฎูŽุงุทูŽุจูŽู‡ูู…ู ุงู„ู’ุฌูŽุงู‡ูู„ููˆู†ูŽ ู‚ูŽุงู„ููˆุง ุณูŽู„ูŽุงู…ู‹ุง

Tumia maneno mazuri na malaini huyo nibinaadam hatakama amekosea.
 
Mathayo 3:2
Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.
2 thousand years imepita, ilikuwa ni breking news time hizo hakuna umeme, what are you talking about? kuna Maandishi mengine ni ya kuyaacha we need update
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ