Takataka tu huna jipyaSema unapitia (sio mnapitia) na kusoma nyuzi zangu kwa heshima. Ina maana hizo comments za wenzako hujazisoma? Matusi na lugha za kejeli ndio heshima?
Duh, kweli moyo wako unahitaji reform. Mbona huna upendo rafiki; unataka kunilisha vyuma? Basi sawa. Mimi silipi kisasi, ntakulisha mana - chakula cha wateule.
Injili ni useless kwa wanaopotea(1 Kor 1:18-25). Kwetu sisi waenda mbinguni, Injili ni nguvu ya Mungu.
Reforms zinaweza kufanyika, lakini nikuambie ukweli, mioyo ya wanaotaka reform isipofanyiwa reform, maisha hayawezi kubadilika. Hujiulizi kwanini katika nchi ambazo wapinzani wameshika dola, wananchi wa kawaida bado tu wanaishi kama mashetani.Kutumia Mandiko na Neno la Mungu, hakukuhalarishii kutopingwa
Hapo ulipo, ndugu zako wamewahi kutekwa na kupotezwa hata mmoja?
Mume wako uko naye? Ni leo uko naye, lakini usalama wa mume wako unahitaji sana hii No reforms no election
Watanzania siyo wajinga, hata wakati wa Mwenye Yesu haki alipotaka kuja, alimtanguliza Yohana kuandaa mazingira ya mwenye haki
Haki ya nchi hii, ni lazima iandaliwe na wachache, mnaoona kila kitu kipo sawa mkae pembeni ili baada ya mambo haya ya Reforms kukaa sawa
Nyinyi ndo mtakuja kusema tulikuwa tumechelewa sana
Ole wake Mtanzania atakaye panga mstari kupiga kuraLeo hii tunasikia makelele mengi kuhusu reform. Reform ya mifumo ya uchaguzi nk. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha ni hili: watu wanaodai reform ya nje, wao wenyewe hawajawahi kuruhusu Mungu awafanyie reform ya ndani. Ni ajabu sana mtu anapigania mabadiliko ya nje wakati moyo wake umejaa chuki, hasira, uongo, uasherati na uzinzi, ulevi, uchawi na kutotubu!
Reform ya kweli huanza ndani ya mtu, si kwenye mabango mitaani. Mungu anafurahia zaidi mtu ambaye yuko tayari moyo wake uwe reformed:
Luka 15:7
"Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu."
Watu wanataka viongozi waadilifu, lakini wao wenyewe ni wadanganyifu kazini na majumbani. Wanapiga wake zao. Maongezi yao yamejaa tamaa za mwili. Midomo yao imejaa maneno yasiyo na heshima kwa wazazi na wanaowazidi umri.
Mathayo 7:4-5
"Wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako? Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako."
Wengine wanapaza sauti dhidi ya rushwa, lakini wao wenyewe wanalipa 'kitu kidogo' ili wapate huduma wasizostahili. Wanatoa rushwa ili magari yao yasikamatwe barabarani.
Warumi 2:21
Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.
So while others are busy chanting “No reform, no election,” I’m over here praying: “Lord, reform my heart and count me among Your elect!” Because one day, all earthly elections will fade, but only those whose names are written in the Lamb’s Book of Life will reign forever and ever. Amen.
Pumbavu kabisa umetaja DHAMBI za wengine siyo. Ujagusa kuuwa kuteka na kutesa kulawiti sababu zinakugusa siyo. Wewe ni taka taka.Leo hii tunasikia makelele mengi kuhusu reform. Reform ya mifumo ya uchaguzi nk. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha ni hili: watu wanaodai reform ya nje, wao wenyewe hawajawahi kuruhusu Mungu awafanyie reform ya ndani. Ni ajabu sana mtu anapigania mabadiliko ya nje wakati moyo wake umejaa chuki, hasira, uongo, uasherati na uzinzi, ulevi, uchawi na kutotubu!
Reform ya kweli huanza ndani ya mtu, si kwenye mabango mitaani. Mungu anafurahia zaidi mtu ambaye yuko tayari moyo wake uwe reformed:
Luka 15:7
"Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu."
Watu wanataka viongozi waadilifu, lakini wao wenyewe ni wadanganyifu kazini na majumbani. Wanapiga wake zao. Maongezi yao yamejaa tamaa za mwili. Midomo yao imejaa maneno yasiyo na heshima kwa wazazi na wanaowazidi umri.
Mathayo 7:4-5
"Wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako? Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako."
Wengine wanapaza sauti dhidi ya rushwa, lakini wao wenyewe wanalipa 'kitu kidogo' ili wapate huduma wasizostahili. Wanatoa rushwa ili magari yao yasikamatwe barabarani.
Warumi 2:21
Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.
So while others are busy chanting “No reform, no election,” I’m over here praying: “Lord, reform my heart and count me among Your elect!” Because one day, all earthly elections will fade, but only those whose names are written in the Lamb’s Book of Life will reign forever and ever. Amen.
Hujakosea kujiita Mnafiki Wa KujitegemeaS
Sadaka ni wizi,sasa mimi kuiba kwa wanaopenda kuibiwa kwako umefanya kuwa ushahidi,ebu lete.
Mshaanza kulalamika kuibiwa mapema yote hii?Leo hii tunasikia makelele mengi kuhusu reform. Reform ya mifumo ya uchaguzi nk. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha ni hili: watu wanaodai reform ya nje, wao wenyewe hawajawahi kuruhusu Mungu awafanyie reform ya ndani. Ni ajabu sana mtu anapigania mabadiliko ya nje wakati moyo wake umejaa chuki, hasira, uongo, uasherati na uzinzi, ulevi, uchawi na kutotubu!
Reform ya kweli huanza ndani ya mtu, si kwenye mabango mitaani. Mungu anafurahia zaidi mtu ambaye yuko tayari moyo wake uwe reformed:
Luka 15:7
"Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu."
Watu wanataka viongozi waadilifu, lakini wao wenyewe ni wadanganyifu kazini na majumbani. Wanapiga wake zao. Maongezi yao yamejaa tamaa za mwili. Midomo yao imejaa maneno yasiyo na heshima kwa wazazi na wanaowazidi umri.
Mathayo 7:4-5
"Wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako? Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako."
Wengine wanapaza sauti dhidi ya rushwa, lakini wao wenyewe wanalipa 'kitu kidogo' ili wapate huduma wasizostahili. Wanatoa rushwa ili magari yao yasikamatwe barabarani.
Warumi 2:21
Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.
So while others are busy chanting “No reform, no election,” I’m over here praying: “Lord, reform my heart and count me among Your elect!” Because one day, all earthly elections will fade, but only those whose names are written in the Lamb’s Book of Life will reign forever and ever. Amen.
Mkuu. Hakuna mlokole hapo hiyo ni timu wauwaji watekaji na watesaji.Huyu mlokole nlikua namuheshimu Sana kumbe nayeye HAMNAZO
Acha kuchanganya injili na siasa ni sawa na mafuta na maji.Mungu hafurahii tunapoinua mawe kutaka kuwapiga tunaowatuhumu kuwa ni wenye dhambi wakati sisi wenyewe tunafanya dhambi hizo hizo. Kama wewe ni msomaji wa Biblia utakuwa unakumbuka kisa cha wale watu waliomfumania mwanamke katika uzinzi. Walimshitaki kwa Yesu na kusema kwamba anastahili kupigwa mawe kulingana na Torati yao. Angalia jinsi Yesu alivyowajibu:
Yohana 8:7 BHN
Walipozidi kumwuliza, Yesu akainuka, akawaambia, “Mtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga jiwe.".. Waliposikia hivyo, wakaanza kutoweka mmojammoja, wakitangulia wazee. Yesu akabaki peke yake, na yule mwanamke amesimama palepale.
Hii comment yako ungeandika kwa kutumia lugha ya madrasa ingependeza sana.Mshaanza kulalamika kuibiwa mapema yote hii?
Reconciliation Resilience, Reform, Rebuild.
Mitamo tena kwa mama Samia.
Huo utakatifu unaousema ni vigumu kuupata iwapo moyo wa mtu haujafanyiwa reform. Mungu mwenyewe aliyetuumba anasema wamepotoka wote, wote wameoza, hakuna mtenda haki hata mmoja(Rum 3:12), halafu wewe unatarajia utakatifu kutoka kwa mtu mwenye moyo usio safi?!Reform sio ya mtu fulani ni reform ya sheria za nchi kuhusu uchaguzi ili tupate viongozi wa kuchaguliwa na wananchi ili wakatuwakilishe Bungeni .
Katiba au tume ya uchaguzi sio ya Heche wala Lisu.
Gwajima anaposema Sheria za mafao ya askari polisi na wanajeshi ziboreshwe na wateule wasiondolewe kiholela sio kwa sababu hao wanajeshi na polisi ni watakatifu la hasa .Bali ni kwa sababu ni haki kufanya hivyo ili watosheke na mishahara yao .
Utakatifu wa Mwanasiasa ni kusimamia haki na kutunga sheria za haki .
Utakatifu wa polisi ni kulinda watu na mali zao na kutoshitaki watu kwa uongo na kutosheka na mishahara yao .
Utakatifuwa mwanajeshi ni kubwa tayari kwenda kupigana vita ya haki na kulinda taifa lao ili watu waishi kwa amani .
Utakatifu wa Juji nikutoa hukumu ya Haki .
Utakatifu wa Rais ni kusimamia maendeleo ya nchi ,kusimamia rasilimali za nchi na kodi ya nchi kwa usawa maana amezikuta na ataziacha kwa ajili ya vizazi vijavyo .
Utakatifu wa Daktari ni kuwatibu watu kwa kadiri ya uwezo wake bila kuweka maslahi yake binafsi .
Utakatifu wa tume ya uchaguzi ni kusimamia uchaguzi kwa haki na aliyechaguliwa kwa kura nyingi atangazwe.
Hayo mengine ni kuutiisha mwili ili uitii nafsi na roho kwa ajili ya kutimiza matakwa ya kiMungu.
No reform no Election.
Reform zitawapatia watanzania viongozi watakao heshimu wananchi . Reforms zitawapa ujasiri wa kweli vyombo vya dola katika kusimamia haki .
Watumishi wa umma wanalia .
Hili andiko lisome tena kwa kutafakariYesu yeye karuhusu kuiba kura? Fala kweli wewe
Kabisa MwajabuOmaryIla wewe umekwisha fanyiwa reform si ndio hivyo boss wangu
Niliyoyaandika, nimeyaandika. Yasome sasa. Ya kesho huyajui wewe. Leo usiku ukiambiwa hivi utamlaumu naniSio majira yake! Utakuja kutuambia siku nyingine, umesikia wewe!?
Usikubali lakini kuendelea kuwa mkorofi. Wana wa Israeli si unajua waliangamia wengi jangwani kwa sababu ya kutokuamini kwao? Yesu yuaja upesi. Akikukuta na ukorofi wako utaachwa katika dhiki kuu.Amen.. Usichoke kupambana kwa ajili ya Mungu..
na usituchoke sisi wakorofi,, maana hata wana israel walimsumbua sana Mungu enzi hizo..
Roho mtakatifu ulishawahi kumuona?Walioviandika, waliviandika kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu, Kwa mantiki hiyo Author ni Mungu mwenyewe. Sasa unataka majina ya nini?
Nakubaliana na wewe kwa mantiki ya kuihubiri injili,lakini ukumbuke ufalme wa Mungu umejengwa juu ya misingi mitatu: Haki,kweli na hukumu. Bila haki na kweli hakuna amani.Mimi sipingi reforms mnazotaka. Msisitizo wangu ni kwamba hakikisheni mioyo yenu pia imefanyiwa reform. Jesus is coming soon. No heart reform, no election into heaven. Heart reform haiepukiki kama unataka kwenda mbinguni ndugu yangu uchumi2018