Ni ajabu sana: Wanapiga kelele za Reform, lakini mioyo yao haijawahi kufanyiwa Reform!

Ni ajabu sana: Wanapiga kelele za Reform, lakini mioyo yao haijawahi kufanyiwa Reform!

Nani amekuambia nafurahia wauaji? Unashindwaje kuelewa uzi wangu Shing Yui ?
Uzi wangu lengo lake ni kueleza kuwa: kabla hujamkosoa mwenzako hakikisha kwanza moyo wako ni safi. Vinginevyo unakuwa mnafiki. Unawashutumu wenzako kuwa ni waovu wakati wewe mwenyewe ni muovu. Kumbuka tena kile kisa cha Mafarisayo waliotaka kumtupia mawe mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi. Yesu aliwaambiaje? "Asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe." Wote waliondoka kwenye tukio kwakuwa walijiona wana dhambi. Wewe unayewashutumu wengine kuwa ni watu wabaya, husemi uongo? Unafikiri wauaji tu ndio watakaotupwa motoni? Angalia andiko hili:
Ufu 21:8
Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.

Umeona? Waongo wako kwenye kundi moja na wauaji na wachawi Lakini katika jamii nyingi leo huwezi kusikia watu wanaandamana kuwashutumu wanaosema uongo.
Sasa sisi wote hatujakamilika hivyo tutakosoana hivihivi... Tukienda kama unavyotaka maana yake hata mtu akimlawiti mwanao itatakiwa unyamaze kwakua wewe pia sio mkamilifi
 
Usichanganye mambo ya siasa na mambo ya wokovu hutaeleweka
Hii slogan yangu: No heart reform, no election into heaven sio ya kisiasa. Hiyo ni slogan ya habari njema ya wokovu: kwamba ukitaka uwe miongoni mwa wateule watakaoingia mbinguni, njia ni rahisi tu: mwambie Yesu aufinyange upya moyo wako. Hivyo bado sijachanganya siasa na wokovu. Umenipata LOTH HEMA ?
 
Kama Yesu mwenyewe alishindwa kufanya reform Israel Taifa lake liwe free kutoka dola ya warumi mpaka anakufa akamwacha mama Ake ako na utumwa huyu Yesu atakufanyia reform wewe ambaye hata hakijui.

NRNE

Nasapoti Uzi wako mijitu miovu , mizinifu inatelekeza Familia halafu inataka reforms kwenye nchi ikiwa wao ni waovu zaidi ni ajabu mno .

Hata Uislamu umesisistiza chanzo Cha uongozi mbaya ni kupotoka kwa Jamii ambapo kunaanzia ngazi ya mtu binafsi na Familia kwa hiyo kama una Nia ya mabadiliko ya kweli yaanzie ngazi za chini kwanza....
 
Attachments

  • 7fdd0d7034277fff040a3b1d646818a0_1749062991067.mp4
    1.6 MB
Nasapoti Uzi wako mijitu miovu , mizinifu inatelekeza Familia halafu inataka reforms kwenye nchi ikiwa wao ni waovu zaidi ni ajabu mno .

Hata Uislamu umesisistiza chanzo Cha uongozi mbaya ni kupotoka kwa Jamii ambapo kunaanzia ngazi ya mtu binafsi na Familia kwa hiyo kama una Nia ya mabadiliko ya kweli yaanzie ngazi za chini kwanza....
Screenshot_20250608_015841_Google.jpg
 
Leo hii tunasikia makelele mengi kuhusu reform. Reform ya mifumo ya uchaguzi nk. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha ni hili: watu wanaodai reform ya nje, wao wenyewe hawajawahi kuruhusu Mungu awafanyie reform ya ndani. Ni ajabu sana mtu anapigania mabadiliko ya nje wakati moyo wake umejaa chuki, hasira, uongo, uasherati na uzinzi, ulevi, uchawi na kutotubu!

Reform ya kweli huanza ndani ya mtu, si kwenye mabango mitaani. Mungu anafurahia zaidi mtu ambaye yuko tayari moyo wake uwe reformed:
Luka 15:7
"Kadhalika nawaambieni, ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya kutubu kwa mwenye dhambi mmoja, kuliko kwa ajili ya watu tisini na tisa wanaojiona kuwa wema, wasiohitaji kutubu."

Watu wanataka viongozi waadilifu, lakini wao wenyewe ni wadanganyifu kazini na majumbani. Wanapiga wake zao. Maongezi yao yamejaa tamaa za mwili. Midomo yao imejaa maneno yasiyo na heshima kwa wazazi na wanaowazidi umri.
Mathayo 7:4-5
"Wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako? Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako."

Wengine wanapaza sauti dhidi ya rushwa, lakini wao wenyewe wanalipa 'kitu kidogo' ili wapate huduma wasizostahili. Wanatoa rushwa ili magari yao yasikamatwe barabarani.
Warumi 2:21
Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.

So while others are busy chanting “No reform, no election,” I’m over here praying: “Lord, reform my heart and count me among Your elect!” Because one day, all earthly elections will fade, but only those whose names are written in the Lamb’s Book of Life will reign forever and ever. Amen.
🚮🚮🚮
 
NO REFORM
NO ELECTION

Ukishachukua afu7 Yako mwambie aliyekutuma wale kenge wa ndani sasa tunasema
Pole sana kama unafikiri nahubiri Injili ili nipate pesa. Ujira wangu anakuja nao Yesu
Ufu 22:12
Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami, kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo.
 
Hii slogan yangu: No heart reform, no election into heaven sio ya kisiasa. Hiyo ni slogan ya habari njema ya wokovu: kwamba ukitaka uwe miongoni mwa wateule watakaoingia mbinguni, njia ni rahisi tu: mwambie Yesu aufinyange upya moyo wako. Hivyo bado sijachanganya siasa na wokovu. Umenipata LOTH HEMA ?
sawa
 
Reform ya kweli huanza ndani ya mtu, si kwenye mabango mitaani.
Mtumishi,
Kwa hiyo mafisadi, wezi wa uchaguzi, watekaji na wauaji waliopo madarakani tayari wameshapata Reforms za ndani yao?
 
Ufu 21:8
Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Biblia gani unatumia Kama ni Hiyo ya Kina KJ (knight Templar) wewe utakuwa Team Leader kuelekea huko motoni.
 
With that political illiteracy.....you will always see things opposite. You failed to comprehend the scriptures you're believing in.
Your pronouncement drips with the haste of judgment untempered by grace, and presumes upon an omniscience no mortal possesses. Yet, I shall not mirror vitriol with venom, for the Word admonishes:
“Do not repay anyone evil for evil. Be careful to do what is right in the eyes of everyone. If it is possible, as far as it depends on you, live at peace with everyone.” — Romans 12:17–18

You allege my “political illiteracy,” yet what profit is there in mastering the intricacies of human governance while failing to discern the weightier matters of salvation and the things of heaven?
“Professing themselves to be wise, they became fools.” — Romans 1:22

As for comprehension of the Scriptures — I seek not to wield them as weapons, but to be wounded by them unto repentance. My reading is not for rebuttal, but for renewal. “The letter kills, but the Spirit gives life.” — 2 Corinthians 3:6

If my perspective appears antithetical to yours, it may be because I read not merely to confirm my biases, but to be conformed to the image of Christ. And He, too, was deemed mad, misread, and misunderstood.

May your fervor be refined by wisdom, and may the peace of Christ arbitrate even in our disagreement. 😎
 
"Waite Tu Wali Wale,Waje Kula Wali Wao"
Umekosea. Ungeandika hivi: Waite Watu Wale Waje Wale Wali Wao ili kila neno lianze na herufi W.
Wewe umechanganya na T na K 🙂 . Hayo tuliyasoma zamani. Sasa hivi tunajifunza mambo muhimu ya ufalme wa Mungu kwakuwa Yesu yuaja upesi.
Ufunuo 22: 10-15
"Kisha akaniambia, Usiyafunge maneno ya unabii yaliyomo katika kitabu hiki, kwa sababu wakati umekaribia. Atendaye mabaya na aendelee kutenda mabaya, aliye mchafu na aendelee kuwa mchafu, yeye atendaye haki na aendelee kutenda haki, na yeye aliye mtakatifu na aendelee kuwa mtakatifu. Tazama, naja upesi! Thawabu yangu i mkononi mwangu, nami nitampa kila mtu sawasawa na alivyotenda. Mimi ni Alfa na Omega, wa Kwanza na wa Mwisho, Mwanzo na Mwisho. Wamebarikiwa wale wafuao mavazi yao, ili wapate haki ya kuuendea huo mti wa uzima na kuuingia huo mji kupitia kwenye malango yake. Huko nje wako mbwa, wachawi, wazinzi, wauaji, waabudu sanamu, na kila mtu apendaye udanganyifu na kuufanya."
 
Your pronouncement drips with the haste of judgment untempered by grace, and presumes upon an omniscience no mortal possesses. Yet, I shall not mirror vitriol with venom, for the Word admonishes:
“Do not repay anyone evil for evil. Be careful to do what is right in the eyes of everyone. If it is possible, as far as it depends on you, live at peace with everyone.” — Romans 12:17–18

You allege my “political illiteracy,” yet what profit is there in mastering the intricacies of human governance while failing to discern the weightier matters of salvation and the things of heaven?
“Professing themselves to be wise, they became fools.” — Romans 1:22

As for comprehension of the Scriptures — I seek not to wield them as weapons, but to be wounded by them unto repentance. My reading is not for rebuttal, but for renewal. “The letter kills, but the Spirit gives life.” — 2 Corinthians 3:6

If my perspective appears antithetical to yours, it may be because I read not merely to confirm my biases, but to be conformed to the image of Christ. And He, too, was deemed mad, misread, and misunderstood.

May your fervor be refined by wisdom, and may the peace of Christ arbitrate even in our disagreement. 😎
Feel yourself right in your mirror....the changes are inevitable.
 
Back
Top Bottom