Ni ajabu sana: Wanapiga kelele za Reform, lakini mioyo yao haijawahi kufanyiwa Reform!

Mimi sitetei udhalimu. Nachosema ni kwamba kabla mtu hajainua mawe ili kumtupia anayemtuhumu kuwa ni dhalimu ahakikishe kwanza moyoni mwake hana doa. Mbele za Mungu sio haki mwizi amwambie mwizi mwenzake: "usiibe."
Wacha urongo
 
kama ni ivo mlikua hamna uhalali wa kuwaita wanaoenda chama kingine wasaliti wakati mnjua kabisa ni haki yao
 
Mnafiki ni huyu aliyeambiwa hivi:
Mt 7:5
Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.
 
Acha upuuzi binti.

No reform no election.
 
Mnafiki ni huyu aliyeambiwa hivi:
Mt 7:5
Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.
Mlokole wa kweli anayeifahamu biblia kwa nilichotolea mfano angefikiria namna nzuri ya kujibu.

Wewe ni mnaafikiii, hujui maandiko, pandikizi

Labda nenda kwa waislamu watakwambia ni nini maana ya unafiki utaelewa
 
Hii nayo ni mada ya kujadiliwa na watu wenye akili timamu?

Samia na Genge lake na watumishi wao wanaoteka waTanzania na kuwaua, wanayo "mioyo ya 'reform"' ndani yao?

Mtu hata hujui unazungumzia kitu gani, unataka watu wapoteze muda wao kusoma uchafu uliouweka hapa?

Ni hivi: Kwa sasa, unachotakiwa kujuwa, hata kwa akili ndogo uliyo nayo ni hiki:
NO REForm, NO ELECTION" - Umeelewa?
 

Acha kuzunguka mbuyu.. Mada ni moja tunataka mabadiliko
NRNE.
 

Acha kuzunguka mbuyu.. Mada ni moja tunataka mabadiliko
NRNE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…