My friend Kalamu'Setfree'?
In actual sense you're enslaved!
Mentally and socially.
Bado unatafuta marafiki duniani. Acha kutumia biblia kuaminisha matukio ambayo watu wanashudia. Acha kuaminisha uwongo kuwa ukweli.Ndio
Why are you addressing your President without the proper respect?
Si ndio maana nasema mfanyiwe reform mioyoni mwenu.
Hoja hupingwa kwa hoja. Wewe ni mtakatifu? Huna dhambi?
Mt 7:5
Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.
No heart reform, no election into heaven.
Mimi sipingi reforms mnazotaka. Msisitizo wangu ni kwamba hakikisheni mioyo yenu pia imefanyiwa reform. Jesus is coming soon. No heart reform, no election into heaven. Heart reform haiepukiki kama unataka kwenda mbinguni ndugu yangu uchumi2018Maneno mazuri sana,japo umesahau jambo moja kwamba,utakuta msajili wa mambo ya imani yeye hana imani maana ndo kauli mbiu ya nchi kuwa serikali haina dini bali watu ndo wenye imani,jiulize swali hili je,kuna serikali bila watu? na kama watu ndo serikali,inakuwaje serikali haina dini?,Ndo maana reforms haziepukiki.
Pole sana kama hujaipata Hidden DiamondBichwa tupu
I've no problems with your heavenly imaginations, I've my own to worry about!My friend Kalamu
While I respect your right to an opinion, I must kindly yet firmly disagree with your assertion. I am not enslaved — neither mentally nor socially. My identity and freedom are rooted in truth, and truth sets free, not binds.
As it is written:
“Then you will know the truth, and the truth will set you free.” (John 8:32, NIV)
Moreover, in Christ, I have been redeemed and given the mind of Christ — a mind of wisdom, not bondage:
“For God has not given us a spirit of fear, but of power and of love and of a sound mind.” (2 Timothy 1:7)
Spiritually, I walk in liberty:
“Now the Lord is the Spirit, and where the Spirit of the Lord is, there is freedom.” (2 Corinthians 3:17)
Socially, I may live among systems and people, but I am not bound by them. My values are not dictated by conformity but by conviction.
“Do not conform to the pattern of this world, but be transformed by the renewing of your mind.” (Romans 12:2)
So respectfully, I reject the idea of being mentally or socially enslaved. I am a free person — in mind, in spirit, and in identity. 😎
Thank you Hovering for your thoughtful observation. You're right that spiritual matters should not disconnect us from the real struggles of the people. But I believe the Word of God gives us a balanced approach — one that neither ignores injustice nor promotes hypocritical judgment.Nilichoelewa Setfree upo too spiritual centered. Kuna vitu haviitaji mitazamo ya Imani pekee.
Fikiria juu ya Hali ya wasiwasi inayojengwa kwa wananchi kutokana na matukio kadhaa yaliotokea. Nayo hii inahitaji mateja wote Tz waache mihadarati na uraibu kwanza ndio mtu mmoja asimame akemee watawala?
Hapana, ingependeza kama unge cite scriptures za kutetea umma zaidi.
Ulikuwa wapi nilipotoa huu mwaliko? Au ulijifanya hujui kusoma?Wewe nilishakwambia nikuoe akili ikae sawa
Ufu 21:8Malasusa achana na Sisi kabisa.
Tuwakosoe kwa nguvu kubwa na huku sisi tukijikosoa piaHoja nzuri safi na makini lakini....
Je unajaribu kusema watawala wasikosolewe kisa wakosoaji nao hawajatimia/si wakamilifu?
Hapana. Kwangu si sahihi. Tukosoane ili uwajibikaji wa watawala uwe na Afya na matokea chanya.
Nani amekuambia nafurahia wauaji? Unashindwaje kuelewa uzi wangu Shing Yui ?Unavyohubiri wokovu nikadhani unapenda haki kumbe wewe na wauaji ni pete na kidole
Sahihi kabisa, nami pia nimerejea biblia hiyo hiyo japo sijaweka kifungu. Biblia inatuhimiza kuonyana/kurekebishana/ kusahihishana,........Ninaweza kusema kwamba hujaelewa maana ya andiko hili:
Luka 6:41-45
Kwa nini wakiona kibanzi jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako? Au, wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ na huku huioni boriti iliyomo katika jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe! Toa kwanza boriti iliyomko jichoni mwako, na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako.
Msingi wa uzi huu umejengwa kwenye andiko hilo.
Nimetubu kwanza ndo nikanyoosha kidole.Kumbe unajua kuwa Mungu hana upendeleo. Basi tubu kwanza uovu wako kabla ya kuwanyoshea kidole watawala
Zamani niliishi dhambini, nikatubu na Yesu akanisamehe na kuniokoa. Sasa siishi tena katika dhambiWewe huna dhambi?