Rais kafanyaje?Mahakama iachwe huru na Mh.Mbowe ataachiliwa muda ukiwadia maana tafsiri ya ugaidi hapa Tanzania ni tofauti na kwingine hapa duniani.Magaidi wa hapa huwa ni wapinzani wa CCM...Raisi amedanganya kwa bahati mbaya wakati akijaribu kuwatetea Polisi.
Eti "mimi ni mama"
Tupe wewe majibu mkuuInawezekana hiyo press Rais hakujiandaa nayo, amekurupushwa akaenda, naona kila swali aliloulizwa amekosea kujibu, hana uhakika na kila alichozungumzia.
Huyo mtu hana ubongo wenye akili!Namba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na kesi yao inaendelea .
Nukuu
Rais Samia: Mimi sidhani kama yamechochewa kisiasa kwasababu navyojua Mbowe alifunguliwa Kesi mwezi wa Tisa mwaka jana (2020), kwa hiyo yeye pamoja na wengine na kama ulivyosema mashtaka ni ugaidi na kuhujumu uchumi. Nadhani wenziwe kesi zao zimesikilizwa na wengine wameshapewa sentence zao wanatumikia. Yeye (Mbowe) upelelezi ulikuwa haujeisha, uchunguzi ulikuwa unaendelea so amekwenda amefanya tumeingia kwenye uchaguzi, amemaliza uchaguzi nadhani sasa Polisi wamekamilisha uchunguzi wao, wamemuhitaji waendelee na kazi yao.
Sasa hao wengine ambao Mtukufu Rais Samia anadai walikwishahukumiwa ni akina nani na wako wangapi na wako gereza gani?
Tulia kumshinda Sugu ni ndoto za mchana. Haiwezi tokea na haitakuja tokea.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hapo wanazingatia Sheria na Haki za msingi za binadamu.
Hili alianzisha mpuuzi Tundu Lissu kutukana Rais. Nakuunga mkonoPlease, respect our Head of State...Huna adabu wewe!
Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili....
Kwanini mnapenda provocation?
Hata hapo anaposema kuwa kesi ilifunguliwa mwezi wa tisa 2020 mimi simuelewi. Wote tumeona Mbowe Amekamatwa mwezi July. Sasa kesi huwa I naanza lini Siku upelelezi ukianza au Siku ikifikishwa mahakamani?Namba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na kesi yao inaendelea.
Nukuu
Rais Samia: Mimi sidhani kama yamechochewa kisiasa kwasababu navyojua Mbowe alifunguliwa Kesi mwezi wa Tisa mwaka jana (2020), kwa hiyo yeye pamoja na wengine na kama ulivyosema mashtaka ni ugaidi na kuhujumu uchumi. Nadhani wenziwe kesi zao zimesikilizwa na wengine wameshapewa sentence zao wanatumikia. Yeye (Mbowe) upelelezi ulikuwa haujeisha, uchunguzi ulikuwa unaendelea so amekwenda amefanya tumeingia kwenye uchaguzi, amemaliza uchaguzi nadhani sasa Polisi wamekamilisha uchunguzi wao, wamemuhitaji waendelee na kazi yao.
Sasa hao wengine ambao Mtukufu Rais Samia anadai walikwishahukumiwa ni akina nani na wako wangapi na wako gereza gani?
We ndo Huna adabu Shwain.Please, respect our Head of State. Huna adabu wewe!
Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili.
Kwanini mnapenda provocation?
Kumbe ujanja wa nyuma ya key board tu..haya potezea
Utakufa kabla y siku zako punguza stress...Maisha hayana tatizo, tatizo kijiba roho chako hichoWe ndo Huna adabu Shwain.
Hiyo rais wenu hana akili, period!
Heri yako wewe utayeishi mileleUtakufa kabla y siku zako punguza stress...Maisha hayana tatizo, tatizo kijiba roho chako hicho
Usiulize kwani wahusika wako majuu walikofungwa, wengine tulidhani kuwa hii ndiyo kesi ya ugaidi ya kwanza nchini.Namba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na kesi yao inaendelea.
Nukuu
Rais Samia: Mimi sidhani kama yamechochewa kisiasa kwasababu navyojua Mbowe alifunguliwa Kesi mwezi wa Tisa mwaka jana (2020), kwa hiyo yeye pamoja na wengine na kama ulivyosema mashtaka ni ugaidi na kuhujumu uchumi. Nadhani wenziwe kesi zao zimesikilizwa na wengine wameshapewa sentence zao wanatumikia. Yeye (Mbowe) upelelezi ulikuwa haujeisha, uchunguzi ulikuwa unaendelea so amekwenda amefanya tumeingia kwenye uchaguzi, amemaliza uchaguzi nadhani sasa Polisi wamekamilisha uchunguzi wao, wamemuhitaji waendelee na kazi yao.
Sasa hao wengine ambao Mtukufu Rais Samia anadai walikwishahukumiwa ni akina nani na wako wangapi na wako gereza gani?
Sugu naye mwanasiasa kweli chadema mlidekezwaTulia kumshinda Sugu ni ndoto za mchana. Haiwezi tokea na haitakuja tokea.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app