Huku Arusha kuna wanaume, tena wana hela chafu mazee. Cha Arusha kiko nje nje, na watu wameranduka ile kinoma, huwa hawataki mafudenge fudenge. Ukiwaletea maroroso wanakuzima mazima.
Tunasubiri kuona, nani mwanaume wa shoka: Wana Arusha ama Makonda? Nani ataingia kwenye mfumo wa mwenzake??
My take.
Kulikuwa hakuna haja ya kuingia kwa kiki. Angeenda kimya kimya kama wenzanke tu .