Ni ama Makonda aingie kwenye mfumo wa Wana-Arusha au kinyume chake

Arusha ni umasai mwingi umewajaa na ufala tu.Vijana ni bangi na mapiwa ya Matejoo.Wakijiongeza sana ni kutafuta ukonda na udeiwaka

Lowassa alikuwa waziri mkuu. Nafikiri Sokoine alitoka kule. Muhimu elimu. Una ngombe 1000. Unaweza vipi kusaidia vizazi vyako vijavyo?
 
Huku Arusha kuna wanaume, tena wana hela chafu mazee. Cha Arusha kiko nje nje, na watu wameranduka ile kinoma, huwa hawataki mafudenge fudenge. Ukiwaletea maroroso wanakuzima mazima.

Tunasubiri kuona, nani mwanaume wa shoka: WanaArisha ama Makonda? Nani ataingia kwenye mfumo wa mwenzake??

My take.
Kulikuwa hakuna haja ya kuingia kwa kiki. Angeenda kimya kimya kama wenzanke tu .
Wanaarusha wana kipi cha maana
 
Kwa mtu ambaye hajawai kufika Arusha anaweza fikiri ni limji likubwa kweli kwa vitisho vya mtandaoni lakini ukifika unaweza anza kuuliza ndio hapa au kuna sehemu nyingine? Halafu kamji kalivyo kadogo unaweza nyonga baiskeli ndani ya nusu saa umemaliza sehemu zote wanazo ziita mjini……

Kwakweli hakuna kipya ambacho mtu anatakiwa kujifunza ili kuendesha mji wa Arusha maana hata kwa starehe bado uwezi sema wanakula starehe sana maana saa 12 tuu wanabaki wahuni tuu kwenye bar….
Mtu aliyeongoza Dar awezi shindwa kuongoza jiji la Arusha!
Anaongoza Mkoa wa Arusha,
 
Arusha huwa mnaipaisha sana, hakuna cha zaidi ya miji mingine. Mtu aliyeweza kuiendesha Dar hawezi kushindwa mji wa Arusha. Hata wahuni wa Arusha wana uhuni wa kizamani sana.
NB: Arusha ni mji ninao upenda sana, naweza kwenda ijumaa nikarudi jumatatu bila kuwa na sababu zaidi ya kutalii tu. Ila sio sawa kuuona kama una watu wa tofauti.
Upo sahihi. Huwa nawaonaga wanapasifia naona wajinga tu au hawana exposure. Mtu anaisifia Arusha kwa ukatili na ubabe hajawahi kufika Tarime, Mugumu
Makonda hawazi kumuogopa mtu chuga kama DSM kaiendesha
 
Huku Arusha kuna wanaume, tena wana hela chafu mazee. Cha Arusha kiko nje nje, na watu wameranduka ile kinoma, huwa hawataki mafudenge fudenge. Ukiwaletea maroroso wanakuzima mazima.

Tunasubiri kuona, nani mwanaume wa shoka: WanaArisha ama Makonda? Nani ataingia kwenye mfumo wa mwenzake??

My take.
Kulikuwa hakuna haja ya kuingia kwa kiki. Angeenda kimya kimya kama wenzanke tu .
Wewe raia wa mtaani utamfanya nini Rc?
Muwe mnatunga vitu halisi vya kuongea na siyo vya kufikirika.
 
Kwa mtu ambaye hajawai kufika Arusha anaweza fikiri ni limji likubwa kweli kwa vitisho vya mtandaoni lakini ukifika unaweza anza kuuliza ndio hapa au kuna sehemu nyingine? Halafu kamji kalivyo kadogo unaweza nyonga baiskeli ndani ya nusu saa umemaliza sehemu zote wanazo ziita mjini……

Kwakweli hakuna kipya ambacho mtu anatakiwa kujifunza ili kuendesha mji wa Arusha maana hata kwa starehe bado uwezi sema wanakula starehe sana maana saa 12 tuu wanabaki wahuni tuu kwenye bar….
Mtu aliyeongoza Dar awezi shindwa kuongoza jiji la Arusha!

Mimi nilivyotembelea kwa mara ya kwanza, nikamuuliza mwenyeji wangu, mbona hunipeleki sasa Arusha. Akaniambia ndo tayari, nikajiambia moyoni, du kumbe siyo JIJI bali ni likiJIJI LIKUBWA (BIG VILLAGE). Sikuongea sana ili mwenyeji wangu aside disappointed 😞. Ila nilichofurahia ni karibu kizifikia mbuga za wanyama na vivutio vingine.
 
Huku Arusha kuna wanaume, tena wana hela chafu mazee. Cha Arusha kiko nje nje, na watu wameranduka ile kinoma, huwa hawataki mafudenge fudenge. Ukiwaletea maroroso wanakuzima mazima.

Tunasubiri kuona, nani mwanaume wa shoka: WanaArisha ama Makonda? Nani ataingia kwenye mfumo wa mwenzake??

My take.
Kulikuwa hakuna haja ya kuingia kwa kiki. Angeenda kimya kimya kama wenzanke tu .
Hiyo My take imewalaza na viatu.

Kuhusu wahuni;

Waulize wapiga debe na mateja wa Dar waliishia wapi enzi za mako. Hao wadudu mda si mrefu watakaa na mama zao wayamalize.
 
Huku Arusha kuna wanaume, tena wana hela chafu mazee. Cha Arusha kiko nje nje, na watu wameranduka ile kinoma, huwa hawataki mafudenge fudenge. Ukiwaletea maroroso wanakuzima mazima.

Tunasubiri kuona, nani mwanaume wa shoka: WanaArisha ama Makonda? Nani ataingia kwenye mfumo wa mwenzake??

My take.
Kulikuwa hakuna haja ya kuingia kwa kiki. Angeenda kimya kimya kama wenzanke tu .
Acha upumbavu wewe mama,kutwa kucha kupiga majungu,si mrefu utazamishiwa dole la kati
 
Huku Arusha kuna wanaume, tena wana hela chafu mazee. Cha Arusha kiko nje nje, na watu wameranduka ile kinoma, huwa hawataki mafudenge fudenge. Ukiwaletea maroroso wanakuzima mazima.

Tunasubiri kuona, nani mwanaume wa shoka: Wana Arusha ama Makonda? Nani ataingia kwenye mfumo wa mwenzake??

My take.
Kulikuwa hakuna haja ya kuingia kwa kiki. Angeenda kimya kimya kama wenzanke tu .
Uzi makonda!! Kijana ana trend tu.
 
Back
Top Bottom