Ni ama Makonda aingie kwenye mfumo wa Wana-Arusha au kinyume chake

Arusha ni umasai mwingi umewajaa na ufala tu.Vijana ni bangi na mapiwa ya Matejoo.Wakijiongeza sana ni kutafuta ukonda na udeiwaka

Lowassa alikuwa waziri mkuu. Nafikiri Sokoine alitoka kule. Muhimu elimu. Una ngombe 1000. Unaweza vipi kusaidia vizazi vyako vijavyo?
 
Wanaarusha wana kipi cha maana
 
Anaongoza Mkoa wa Arusha,
 
Upo sahihi. Huwa nawaonaga wanapasifia naona wajinga tu au hawana exposure. Mtu anaisifia Arusha kwa ukatili na ubabe hajawahi kufika Tarime, Mugumu
Makonda hawazi kumuogopa mtu chuga kama DSM kaiendesha
 
Wewe raia wa mtaani utamfanya nini Rc?
Muwe mnatunga vitu halisi vya kuongea na siyo vya kufikirika.
 

Mimi nilivyotembelea kwa mara ya kwanza, nikamuuliza mwenyeji wangu, mbona hunipeleki sasa Arusha. Akaniambia ndo tayari, nikajiambia moyoni, du kumbe siyo JIJI bali ni likiJIJI LIKUBWA (BIG VILLAGE). Sikuongea sana ili mwenyeji wangu aside disappointed 😞. Ila nilichofurahia ni karibu kizifikia mbuga za wanyama na vivutio vingine.
 
Hiyo My take imewalaza na viatu.

Kuhusu wahuni;

Waulize wapiga debe na mateja wa Dar waliishia wapi enzi za mako. Hao wadudu mda si mrefu watakaa na mama zao wayamalize.
 
Acha upumbavu wewe mama,kutwa kucha kupiga majungu,si mrefu utazamishiwa dole la kati
 
Uzi makonda!! Kijana ana trend tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…