Ni Apps gani za kupakua nzuri, best of the best huwezi kosa kwenye smartphone yako?

Tigopesa App
Mpesa na My Vodacom
Halopesa
CRDB simbanking
Adobe reader
Adobe Scanner
Jf
Tanesco App
Ada(Health app)
Quran for Android
Outlook
 
Hamia Adobe mkuu. WPS wameshafeli
Hii adobe naipata wapi na je inapatikana play store? Je inaitwaje kwa jina lake kamili km nitaitafuta kule play store? Je nayo ina perform kazi za WPS? Naomba unijibu mkuu ili niipakue ss hv niachane na ujinga wa WPS.
 
Alternative nzuri ya WPS ni MS Office tu. Wameweka app yao Playstore ambayo ime combine kila kitu na inapiga kila kitu kma kawa. Kuanzia pdf, word, excel, powerpoint, forms, scanning na hata kusign na ku convert pdf bure kabisa. Huna haja ya kubeba app 3 kwenye simu yako wakati kuna moja official inayofanya vyote bure kabisa.
 
Sema mkuu hii app simu ndogo
 
Sema mkuu hii app simu ndogo
Office ina MB 80,

WPS ina MB 69, kama unataka kuscan documents utachukua na CamScanner MB 42 ambayo jumla ni MB 111. Si bora uchukua tu Office inayofanya kila kitu tena free kabisa kwenye kila feature.

Alaf Office pia ina integrate na OneDrive. Kma ume setup OneDrive kwenye PC yako unaweza save documents kwenye simu na ukazikuta kwenye PC yako vizuri tu.
 
Kazi yake ni Kureport Emergency, Kupeleka Malamiko na Kuuliza maswali tu. Haina function nyingine yoyote
Kuna majitu bado yamelala sn huko serikalini, ss wanasubiri mpk waambiwe watengeneze app ambayo itawezesha mteja kununua umeme direct kupitia hyo app? Kwnn wasitengeneze app ambayo itafanya mtu aingize umeme moja kwa moja bila kuanza kuhangaika na sijui mashine za kuingizia umeme sijui kuanza kuingiza token na mauchafu uchafu km hayo!?
 
point
 
Tatzo kwa sasa ni system. System ya sasa inategemea meter ifanye kazi ya kudecrypt token. Watahijati kubadilisha meter zote ili kuleta mfumo mpya. Nadhani kuna baadhi ya nchi hapa Africa wameshaanza kutumia system mpya isiyohitaji kuingiza token kununua umeme. Huku bongo tusubiri tu maana serekali yetu iko against technology sana
 
ni nia tu mkuu, zile mita za zamani mbona waliweza kuzitoa wakaleta hizi za luku
 
Alternative nzuri ya WPS ni MS Office tu. Wameweka app yao Playstore ambayo ime combine kila kitu na inapiga kila kitu kma kawa. Kuanzia pdf, word, excel, powerpoint, forms, scanning na hata kusign na ku convert pdf bure kabisa. Huna haja ya kubeba app 3 kwenye simu yako wakati kuna moja official inayofanya vyote bure kabisa.
Ushukuliwe sn mkuu nmeshai download Office yn iko poa km ulivyosema, hapa naenda kui uninstall WPS a.k.a uchafu.

Shukran sana mkuu [emoji120]
 
Back
Top Bottom