Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Sijawahi tumia Ila no way isikubali na vpn, unless hio vpn imeblokiwa na app husika.Ila nilichosema ni unaonaje mkuu. Ni kweli hauezi tumia hapa tz hata kama uwashe vpn.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi tumia Ila no way isikubali na vpn, unless hio vpn imeblokiwa na app husika.Ila nilichosema ni unaonaje mkuu. Ni kweli hauezi tumia hapa tz hata kama uwashe vpn.
Natumia express vpn na spotify inapiga kaZi kama kwaSijawahi tumia Ila no way isikubali na vpn, unless hio vpn imeblokiwa na app husika.
Hamia Adobe mkuu. WPS wameshafeliSiku hizi WPS imekuwa utopolo sn ina ads nyingi na ukitaka kuiweka doc kwenye pdf format inataka ulipe kwnz, cjui labda mm nilikosea site ya ku download WPS.
Hii adobe naipata wapi na je inapatikana play store? Je inaitwaje kwa jina lake kamili km nitaitafuta kule play store? Je nayo ina perform kazi za WPS? Naomba unijibu mkuu ili niipakue ss hv niachane na ujinga wa WPS.Hamia Adobe mkuu. WPS wameshafeli
Alternative nzuri ya WPS ni MS Office tu. Wameweka app yao Playstore ambayo ime combine kila kitu na inapiga kila kitu kma kawa. Kuanzia pdf, word, excel, powerpoint, forms, scanning na hata kusign na ku convert pdf bure kabisa. Huna haja ya kubeba app 3 kwenye simu yako wakati kuna moja official inayofanya vyote bure kabisa.Hii adobe naipata wapi na je inapatikana play store? Je inaitwaje kwa jina lake kamili km nitaitafuta kule play store? Je nayo ina perform kazi za WPS? Naomba unijibu mkuu ili niipakue ss hv niachane na ujinga wa WPS.
Sema mkuu hii app simu ndogoAlternative nzuri ya WPS ni MS Office tu. Wameweka app yao Playstore ambayo ime combine kila kitu na inapiga kila kitu kma kawa. Kuanzia pdf, word, excel, powerpoint, forms, scanning na hata kusign na ku convert pdf bure kabisa. Huna haja ya kubeba app 3 kwenye simu yako wakati kuna moja official inayofanya vyote bure kabisa.
Office ina MB 80,Sema mkuu hii app simu ndogo
tanesco kumbe wana app yao?? 😀 😀Tigopesa App
Mpesa na My Vodacom
Halopesa
CRDB simbanking
Adobe reader
Adobe Scanner
Jf
Tanesco App
Ada(Health app)
Quran for Android
Outlook
subscription umefanya kabisa na inapiga kazi???Natumia express vpn na spotify inapiga kaZi kama kwa
Kazi yake ni Kureport Emergency, Kupeleka Malamiko na Kuuliza maswali tu. Haina function nyingine yoyotetanesco kumbe wana app yao?? 😀 😀
basi asee 🙌 🙌 maana nlikua naenda ku download apa, nimeahirishaKazi yake ni Kureport Emergency, Kupeleka Malamiko na Kuuliza maswali tu. Haina function nyingine yoyote
Kuna majitu bado yamelala sn huko serikalini, ss wanasubiri mpk waambiwe watengeneze app ambayo itawezesha mteja kununua umeme direct kupitia hyo app? Kwnn wasitengeneze app ambayo itafanya mtu aingize umeme moja kwa moja bila kuanza kuhangaika na sijui mashine za kuingizia umeme sijui kuanza kuingiza token na mauchafu uchafu km hayo!?Kazi yake ni Kureport Emergency, Kupeleka Malamiko na Kuuliza maswali tu. Haina function nyingine yoyote
pointKuna majitu bado yamelala sn huko serikalini, ss wanasubiri mpk waambiwe watengeneze app ambayo itawezesha mteja kununua umeme direct kupitia hyo app? Kwnn wasitengeneze app ambayo itafanya mtu aingize umeme moja kwa moja bila kuanza kuhangaika na sijui mashine za kuingizia umeme sijui kuanza kuingiza token na mauchafu uchafu km hayo!?
Tatzo kwa sasa ni system. System ya sasa inategemea meter ifanye kazi ya kudecrypt token. Watahijati kubadilisha meter zote ili kuleta mfumo mpya. Nadhani kuna baadhi ya nchi hapa Africa wameshaanza kutumia system mpya isiyohitaji kuingiza token kununua umeme. Huku bongo tusubiri tu maana serekali yetu iko against technology sanaKuna majitu bado yamelala sn huko serikalini, ss wanasubiri mpk waambiwe watengeneze app ambayo itawezesha mteja kununua umeme direct kupitia hyo app? Kwnn wasitengeneze app ambayo itafanya mtu aingize umeme moja kwa moja bila kuanza kuhangaika na sijui mashine za kuingizia umeme sijui kuanza kuingiza token na mauchafu uchafu km hayo!?
ni nia tu mkuu, zile mita za zamani mbona waliweza kuzitoa wakaleta hizi za lukuTatzo kwa sasa ni system. System ya sasa inategemea meter ifanye kazi ya kudecrypt token. Watahijati kubadilisha meter zote ili kuleta mfumo mpya. Nadhani kuna baadhi ya nchi hapa Africa wameshaanza kutumia system mpya isiyohitaji kuingiza token kununua umeme. Huku bongo tusubiri tu maana serekali yetu iko against technology sana
Ushukuliwe sn mkuu nmeshai download Office yn iko poa km ulivyosema, hapa naenda kui uninstall WPS a.k.a uchafu.Alternative nzuri ya WPS ni MS Office tu. Wameweka app yao Playstore ambayo ime combine kila kitu na inapiga kila kitu kma kawa. Kuanzia pdf, word, excel, powerpoint, forms, scanning na hata kusign na ku convert pdf bure kabisa. Huna haja ya kubeba app 3 kwenye simu yako wakati kuna moja official inayofanya vyote bure kabisa.