Ni asilimia 21 tu zitaenda kwa Wazanzibari katika Nafasi 1,097 za kazi kutoka TRA, marekebisho yanahitajika

Ni asilimia 21 tu zitaenda kwa Wazanzibari katika Nafasi 1,097 za kazi kutoka TRA, marekebisho yanahitajika

Zanzibar ni nchi kamili. Sio sawa na mwanza ama mbeya huko wanakoangalia usawa wa idadi wanapogawa pembejeo.

Jiulize kwanini Zanzibar lazima iwe na raia wake katika vyeo viwili vya juu kila awamu yaani mgombea urais na mgombea mwenza wa Tanzania ni lazima mmojawapo atoke zanzibar kila awamu.

Maswala ya idadi ni kwenye mikoa sio nchi
Rubbish
 
Tukipata katiba mpya, tutawaachia ka mkoa kenu maana mmeanza kutaka kila kitu pasu pasu.
 
Back
Top Bottom