n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
RubbishZanzibar ni nchi kamili. Sio sawa na mwanza ama mbeya huko wanakoangalia usawa wa idadi wanapogawa pembejeo.
Jiulize kwanini Zanzibar lazima iwe na raia wake katika vyeo viwili vya juu kila awamu yaani mgombea urais na mgombea mwenza wa Tanzania ni lazima mmojawapo atoke zanzibar kila awamu.
Maswala ya idadi ni kwenye mikoa sio nchi