Nikilipanda aisee. Kituo cha kwanza kuchimba dawa ni Mafinga kisha cha pili Msamvu na mwisho Mbezi.Mbona liko poa mkuu au sababu ya mbio
[emoji81][emoji75][emoji16][emoji119] daah nimecheka sana mkuuNiliwahi kupanda Bus moja lilikuwa linaitwa Buffalo hili lilikuwa lina kwenda kama sio Arusha ilikuwa Moshi maana nilipandia Dar kwa kushukia Hedaru,lile basi lilikuwa linakimbia ajabu na ukichukulia miaka ile kulikuwa hakuna speed govenor ilikuwa ni hatari,nakumbuka kwenye makona lilikuwa linalala mpaka unasikia kama kuna bolt na nuts zinakatika,kufika maeneo ya Mombo ile basi likaacha njia tukaingia kwenye mashamba ya katani,bahati yetu lile eneo lilikuwa ni tambarare hakuna aliyepatwa na umauti zaidi ya majeraha madogo madogo...
Tangu zamani ndiyo mchezo waoAwa jamaa wajanja
Kama umezoea kunywa kunywa ukiwa njiani lazima upate shida nikiwa kwenye safari ndefu huwa nakunywa energy moja tu maji nakunywa mwisho wa safari mfano zimebaki kilomita 70 tufike ndo naanza kunywa maji nasinywi yote nakunywa kidogo kidogo ila mzee sauli hao warembi ni mbio mbio.[emoji16]Nikilipanda aisee. Kituo cha kwanza kuchimba dawa ni Mafinga kisha cha pili Msamvu na mwisho Mbezi.
Unakuwa na fuko la kojo mpaka unalaani
Liwe na choo ndaniKama umezoea kunywa kunywa ukiwa njiani lazima upate shida nikiwa kwenye safari ndefu huwa nakunywa energy moja tu maji nakunywa mwisho wa safari mfano zimebaki kilomita 70 tufike ndo naanza kunywa maji nasinywi yote nakunywa kidogo kidogo ila mzee sauli hao warembi ni mbio mbio.[emoji16]
Hataki kuyaumiza mapemaYale mapya ndo angeweka route ya mbali sasa
Basi linakimbia kama hakuna sheria vile dahLabda walete hizi new models
Na hayo ndo mengi sasa[emoji16][emoji75] kuna bus ukiliona tu kwa nje unajisemea hapa hamna gari
Kimwendo wako vizuri ila huduma zao mmmhKwanza majinja body lake ni la kuchongea pia injini ni za scania mkuu[emoji16]