Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Kuna basi jina MTOTO GEMA!!
DODOMA -TABORA, hizi gari sio mbovu, shida Zina mwendo sana , mwendo kasi sana kama una presha sikushauri kupanda,!!
Nasijui kama Bado yapo maana ni muda mrefu na Sasa situmiii usafiri wa uma.
Hahaha duh mtoto Gema kitambo sana, nimekumbuka mbali sana mkuu.
 
Hehe manake kwanza ncheke,

kuna jamaa angu alikua hapo tabora mm niko dar kuna mzigo anatakiwa aupate ndan ya masaa machache,kufika mbezi salange akanambia hii gari ya kigoma ndo nzuri tabora mapema sana,,,

Nikampa dereva 10k nkachukua namba yake ya simu mm huyoo maskan,,,,inafika saa 12 napiga sm haipatkan hakuna siku nilimaindiwa kama siku hiyo,,
Baada ya siku 2 ndo gari inapita tabora [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siku 2[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom