Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Tawfiq na dereva wake tyson miaka hiyo singida-dom barabara vumbi.
Jama alikua anapiga gia ile bus sijawahi ona.
Pale saranda kuna siku alilishusha full force unaambiwa kukaribia kumaliza mteremko bus likachotwa na michanga tukaza nalo porini.
Sukuma mpk litoke masaa tukaanza tena maspidi.
Mpaka nafika Dom home sikai nikatulia kwenye kiti nikikaa nadunda dunda au kurukaruka na kuyumba kama nilivyokua ndani ya bus
 
[emoji23][emoji1787][emoji81][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom