Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Kuna basi jina MTOTO GEMA!!
DODOMA -TABORA, hizi gari sio mbovu, shida Zina mwendo sana , mwendo kasi sana kama una presha sikushauri kupanda,!!
Nasijui kama Bado yapo maana ni muda mrefu na Sasa situmiii usafiri wa uma.
Hahaha duh mtoto Gema kitambo sana, nimekumbuka mbali sana mkuu.
 
Buti la Zungu Dar-Mtwara Basi limegawanywa nusu kwa ceiling board eti VIP ushuzi mtupu .Ila Mtwara ntarudi .
 
Siku 2[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…