Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

😂
 
😂 Huu uzi unachekesha
 
Nyehunge natoka Mwanza naenda Moro gari ikapasuka tyre n ugonjwa mwingine ukatokea tena maeneo ya misungwi[emoji23][emoji23]

Mpaka kuja gari nyingne ilifika saa 4 kasoro tulifika moro saa 6 usiku kama tunaenda Dar
 
Nyingne natoka Mwanza narudi Dar mwaka 2016 nilikata ticket gari inaitwa Happy Nation lakn kesho yake tukapandshwa gari nyingne tukasema fresh tu kikubwa kufika

Tulivyofika Shinyanga alafu maporini sasa Turbo ikazingua ikabidi tuwaulize driver na wenzake, wakasema hii ngoma inabidi ifatwe Mwanza au Dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna mwamba mmoja akasema ikifika saa 8 mchana bado gari haiko sawa kitaeleweka, Saa 8 ikafika nilijua utani Driver alichakazwa aisee na sijui walifanyaje ila Turbo ilifika na Dar tulifika saa 2 asubuh
 
Driver alipigwaa au???
 
Tena walikua wanashindana na Kandahar
Ivi kisbo sindo ili gali kipindi cha nyuma walikuwaga wakikutana salamu yao wanapishana wakulia anahamia kushoto kushoto anahamia kulia sasa siku moja akatokea alikuwa dereva ni mgeni hajui salamu za wenzie.

Jamaa kukalibiana dereva mzoefu akampigia..
Pass wapishane kama salamu yao ilivo kawaida yule dereva mgeni akaludisha pass akajua anasalimiwa maana kampuni ni moja kusalimiana muhimu sasa maana ya pass kwao ilikuwa wanamaanisha wa exchange njiaa dereva mzoefu akalileta kama kawa jamaa walikutana uso kwa uso babaaake jina la hii kampuni zamani sijui lilikuwa linaitwaje baada ya kukaa mda mrefu ndo wakabadili usajili wa jina wakaja na hii kisbo.
 
Nyehunge natoka Mwanza naenda Moro gari ikapasuka tyre n ugonjwa mwingine ukatokea tena maeneo ya misungwi[emoji23][emoji23]

Mpaka kuja gari nyingne ilifika saa 4 kasoro tulifika moro saa 6 usiku kama tunaenda Dar
[emoji38][emoji23][emoji81]
 
[emoji81][emoji23][emoji38] uyo jamaa alikuwa poti nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…