Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Ila kiukweli usafiri mzuri na wa haraka dar to mwnza ni ally's star hawana mambo ya kupotezeana muda.. naipenda sana hiyo kampun nikikosa kwao kwenda rock city bora nihairishe.

Zile dragon zimebakia kupaa tu aisee zinatembea kweli kweli.

Najua kuna watu watakuja hapa kuongolea mambo ya kupata ajali kisa mwendo hayo ni ya kwenu ajali haina kinga .
 
Hao allys juzi walikalishwa na jmc
 
Allys zamoto ni nyingi tuu

Kuna city hunter hii hadi ilipta ajali ikarudi kukaww na ginimbi pia enzi izo kulikuwaga na DRG aka La petrol hili ndo balaa, nyingine zinatambulika kwa nmba tuu achana n hizi DX Series
La petroleum ni [emoji91][emoji91]
 
Happy nation ya mbeya jamani yani mnafika makambako saa 3 kuelekea 4 usiku dah
 
Nilianza kupanda Asante Rabi mwaka 2018 baada ya kuwakimbia Mghamba Express, mghamba wana basi Lao lenye mlango katikati lilikuwa bovu sana.
Nikahamia Asante Rabi, kwa kweli hii kampuni kwenye customer care wanajitahidi kwa uzoefu wangu; Wanajitahidi kwenda na muda, Wana app kwenye simu ya kuchagua siti na kulipia sio lazima kwenda ofisini. Imagine nilikuwa nalipanda kila baada ya wiki tatu go and return kwa miaka 4.
 
Wako vizuri mno yani
 
Yani kama daladala kila kituo konda anashuka chini ya gari kugonga gonga .majanga sana
Seme nilikua napanda ili nimuone Husna anaekagua ticketi [emoji855][emoji855]
Ni pisi nini[emoji75]
 
unachanganya facts...Kampuni unayoisema wewe inaitwa City Boy...enzi hizo Dar Kahama ndiyo gari zao ziligongana kwa huo mchezo wa kubadilishana lanes. City Boy au Super Video yupo mpaka leo hajabadili jina, for now anaenda Dar Karagwe, Kahama aliacha.

Kisbo wameanza kabla ya City boy hapo Kahama na wapo mpaka leo. Kisbo na City boy hazihusiani kibiashara.
 
Nilichanganya mafile
 
Mshapanda ma Bus ya Kigoma nyie??? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nilijaribu siku moja, nikasema hii ela ya ndege nije kula bata Dar.....

Nilijutaaa, sirudii tena.
[emoji81][emoji75][emoji16][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…