Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Bembea....tanga-Dar-tanga mamaeeee zao bora hata utembee kwa miguu unaweza kuwahi kufika tanga kabla ya hilo basi.Halafu mmiliki wa hayo mabasi haleti vyuma vipya anatumia mabasi ya miaka ya 90 huko
 
Bembea....tanga-Dar-tanga mamaeeee zao bora hata utembee kwa miguu unaweza kuwahi kufika tanga kabla ya hilo basi.Halafu mmiliki wa hayo mabasi haleti vyuma vipya anatumia mabasi ya miaka ya 90 huko
[emoji16][emoji16][emoji16] aiseee
 
Bovu kusenge hilo basi...nje na ndani utaliona gari la maana ila engine mkweche. Magufuli terminal unatoka saa 7 ...lindi unaingia saa 6 usiku
 
Bembea....tanga-Dar-tanga mamaeeee zao bora hata utembee kwa miguu unaweza kuwahi kufika tanga kabla ya hilo basi.Halafu mmiliki wa hayo mabasi haleti vyuma vipya anatumia mabasi ya miaka ya 90 huko
Hilo kule Tanga wanaliita la wenyeji. Ukipanda mle ubebe msosi wa kutosha, dawa ya meno, mswaki, mafuta ya kujipaka. Yaani kwa ujumla uwe tayari kunaweza kukapambazuka bado hujafika mwisho wa safari. Afu sio kwamba mmesimama sehemu, hapana! Ni linaenda ila kama linarudi kinyume nyume[emoji1]
 
Ila cha ajabu huwa halikosi abiria sijui labda nauli yake ipo chini
 
[emoji16][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…