Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?


Basi jamaa waliiba huo mzigo aiseee
 
Upande mmoja kuna siti 3 mwingine siti 2. Sasa Jichanganye upate hiyo ya siti 3 uwekwe katikati afu huku kibonge huku kuna mama ana mtoto msumbufu.

Nilijuta kupandia njiani fikoshi ya mwanza-mbeya via dodoma mtera then iringa wale ubishi wangu tu niliambiwa nikalale singida mjiji magari ndio rahisi naamka naondoka nalo tu nikajikuta ninja nipandie misigiri la saa 5 linalotoka mwanza weeeeh[emoji23][emoji23] wale wapiga debe washenzi sana wanakwambia gari ina siti kumbe imeshashona hadi kati kati alafu ndo lina 3x2 seats bus lote lina vibrate body la kuunda injini scania kiufupi yalikuwa mateso uwezi amini nilikalia ndoo nikichoka nasimama nimekuja kupata siti dom
Kisasa pale nili apia siji kukata ticket kwa wapiga debe.
 
Iyo hood jina la utani ilikua inaitwa panyabuku[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Haya ya siku hizi naona yote yako poa,nilipanda maramoja na sikurudia tena lilikuwa linaitwa Buffallo Dar-Arusha...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimecheka sana aisee, pole sana mkuu
 
Zingekuwa ni zile kona za Nyang'olo mbona ingekuwa balaa kwa kuangukiwa na hiyo mizigo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…