Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Labda kama huna haraka

Mkuu mwaka juzi nilipanda la swanga-dsm nilipandia uyole kabla sijakata ticket wengi walisifia newforce ya saa 4 inaingia pale uyole saa 6 ila nikapiga hesabu kama wengi wanalisifia inamaana halitokua na nafasi nisije kukalia ndoo hadi daslam nikafos ivyo ivyo saibaba lilikuwa empty bado nikapanda huezi amini hadi tunaingia mbezi saa 10 hiyo newforce wanayo isifia haikutufikia hata chembe some time bus ni uwendeshaji wa dereva tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi kingewaka maana ningeenda kuwafungulia kesi

Haha rafiki yangu alifikisha hayo malalamiko kwa Zuberi mwenyewe
Ila nae boya tu
coz aliwatetea makondakta wake
Jamaa akamuuliza iwapo anawaamini
ni kwanini hawakumpa taarifa hiyo mapema?
hadi yeye ndiye ametafuta namba zake na kumwambia kuhusu tukio la upotevu

Zuberi akashindwa aamue lipi
Jamaa akamwambia ni kwanini makondakta wake wamegoma kucheck cctv?
 
Back
Top Bottom