Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

[emoji3]pole mkuu, mimi mpaka leo hata kama naenda Moro kutokea Dar natamanigi nikakate tiketi hata siku mbili kabla ofisini kwao kabisa sipendi usumbufu usumbufu. Nishawahi simama hadi Chalinze Hood hiyo imeshona kama daladala. Ile safari niliichukia vibaya mno!!
 

[emoji28][emoji23] hiyo kampuni haipo siku hizi aisee
 
Reactions: Gru
Kuna takataka inaitwa tunda na turu mbeya via singida bariadi usijaribu kwanza Kama hujui kisukuma huko utakoma kwenye hio gari mtu kutema mate na makamasi ni kawaida ndani ya gari

[emoji1787][emoji38][emoji23][emoji16][emoji119][emoji119] wanaongea kwa nguvu hadi mate yanaruka
 
Hapana sio wapiga debe
wale ni makondakta kabisa
coz Jamaa aliwaambia waangalie kwenye cctv zao
wakagoma kabisa!
Kuna rafiki yangu nae alifanyiwa hivyo na kampuni nyingine lakini, alikuwa anashukia njiani. Alivyofika hakuona begi, alikataa kushuka akaenda nao mpk mwisho wa safari. Kumbe wakati wamesimama kula, makondakta walibadilisha baadhi ya mizigo kwenye gari yao nyingine. Alikuja kulipata begi lake kwenye bus jingine baada mizigo yote kushushwa na begi likakosa mtu.
 

Huyo rafiki yangu nae alienda hadi mwisho (Mwanza) buses zote mbili zikafika wakashusha mizigo yote ila hakuna begi
akawaambia kwanini msitazame cctv muone?
Ila wakagoma kabisa
Ni tafasiri gani inakuja hapo juu ya uhusika wao?
 
City boys hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…