Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Falcon nilisafiri nalo usiku nilingatwa sana na kunguni mpaka poo
 
hivi zile bus za bembea bado zipo tanga -dar
 
Simiyu express zile za 3 by 2 dar simiyu ni zaidi ya skrepa, wahudumu wa gari wanazidi idadi ya abiria, kauli mbovu jirekebisheni.
 
Bus gani umewah panda na ukajutia safari yako.
Bus La kampuni Baraka kutoka Masasi kwenda Morogoro, japo main destination ilikuwa Dodoma tukaachwa solemba kongowe baadae solemba temeke baadae solemba Magufuli terminal ni aibu Higher gari zuri ila hii kampuni inaboa sijakata tamaa nawapa nafasi I hope wako poa now.
 
Baraka inakera mno.Wanaringa mno Kwa kua hawana mpinzani.Ni wao Tu wanaofanya safari za morogoro na Dodoma.
 
Baraka inakera mno.Wanaringa mno Kwa kua hawana mpinzani.Ni wao Tu wanaofanya safari za morogoro na Dodoma.
Maning nice yupo pia kwa mtwara Baraka wanaringa masasi kwa saaana kuna demu tunapendana yupo hii kampuni shida yao nadhani service. Higer gari nzuri seat safi mno
 
Najmnisa Ile ya zamani, kidogo niteme ulimi chini mwanza dar spidi kama Kobe, nilifika dar nikaumwa wiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…