Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Ally's, Dar-MwanzaBasi zuri sio yutong Wala marcopolo,sijui Subaru Ile khaaaa ......Dereva kijana wa kiarabu anakula majani Kama mbuzi ,,hakuna Sala niliacha kuomba hiyo siku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii gari niliwahi kupanda dereva akiwa huyo muarabu yani anamwaga moto balaa