Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Ally's, Dar-MwanzaBasi zuri sio yutong Wala marcopolo,sijui Subaru Ile khaaaa ......Dereva kijana wa kiarabu anakula majani Kama mbuzi ,,hakuna Sala niliacha kuomba hiyo siku
Luwinzo njombe ..dar.tulipanda na Bata na kuku
Al hushoom kutoka Moro kwenda Dodoma enzi hizo tulitoka moro asubuhi tukafika dodoma usiku.
Usisingizie tochi kipindi hiko kulikuwa hakuna tochi wala vibao vya 50. Gari inasimama kila kituo kupakia abiria dakawa, turiani, sijui dumila kote huko linasimama.
Sijui hii kampuni kama bado lipo.
Kwasababu zakibiashara na huenda sasa hivi wamebadilika hivyo sitawataja, wanabrand ya rangi Blue na ofisi zao pale Shekilango..hawa watu walitutoa Ubungo saa sita mchana kwenda kahama badala ya saa 12 asubuhi.
Sidhan sijaiona pale mbezi
Mbona mwenzangu Kama ulienjoy jamani?😂😂yaani roho mkononi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii gari niliwahi kupanda dereva akiwa huyo muarabu yani anamwaga moto balaa
Inakera sana kwenye mabus, nadhani wanapeana kwenye flash zile movies,maana Kuna gari nilipanda wakati wa kwenda,wakati wa kurudi nikapanda nyingine ila movies zilezileMovies za kutafsiri au za mkojani
Falcon inabidi upande na mwamvuli kwenye basi,goma mvua ikinyesha linavuja balaa hawa waarabu wanaungaunga sana!
🤣🤣 Harambee bado ipoMuingeze na rafiki yake Harambee, sijui kama bado yupo barabarani. Gari ilikuwa inavuja, aliyeko nje ana afadhali [emoji23]
Musoma unawaonea, ila kigoma nakubaliGari za kigoma,tabora na musoma yani kunguni ndio mabus yao aiseee
Chuma ya wazawa Dodoma hiyo [emoji16][emoji16] haina maajabuNipo ndani ya basi na nishajiapiza sitapanda tena.
Linaitwa Champion