Ni biashara gani iliyo kutoa kimaisha na mtaji kiasi gani ulianza nao ?

Kitabu kinamaudhui gani?
Kwa msaada wa CHATGPT 😁

📘 Ego Is the Enemy – Muhtasari wa Jumla , mwandishi Ryan Holiday

Kitabu hiki kinafundisha kuwa ego (kujiona mkubwa kupita kiasi) ndiyo adui mkubwa wa:

Mafanikio

Kujifunza

Uongozi

Mahusiano

Maisha yenye maana

Ego inatufanya:

Tusisikilize

Tujione tunajua kila kitu

Tukatae kukosolewa

Tuharibu kile tulichojenga wenyewe

Ryan Holiday anagawanya kitabu katika sehemu 3 kuu:

Aspire (Unapopanda)

Success (Ukiwa juu)

Failure (Ukianguka)

Kitafute mkuu..
 
Mimi upande wangu biashara ya Mpunga walau ilinitoa mahali na kunipa maisha, mtaji kipindi icho nilianza kama na 600,000/= nikanunuaga gunia 12@50,000/= baada ya miezi michache baadae nikakoboa na kuuza 2200 kwa kilo, wastan wa kg 63 kila gunia, huo ndio ukawa mwanzo wa kutoka mpaka sasa!, japo safari inaendelea sijafika ila niseme tu ya jana si ya leo namshukuru Mungu!.
 
So unafanya processing ya nafaka?
 
Back
Top Bottom