Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
Utakuwa mbali sana hiyo biashara ina hela sanaBangi mtaji laki nne nilianza mwaka 2000
Utakuwa mbali sana hiyo biashara ina hela sanaBangi mtaji laki nne nilianza mwaka 2000
Kaka gariii ndio imeamka muda huu..Umeshalewa kwa hiyo NB yako alafu unasema unajiandaa kulewa ,kaka unatupanga
Ukipata hela ya kula inatosha etiHivi kwenye maisha ni lazima kutoka ?
Kwa kweli sioni cha ziada nachohitaji kwa sasaUkipata hela ya kula inatosha eti
Dah!,sawa mkuu inabid tukupe nchi maana huna tamaaKwa kweli sioni cha ziada nachohitaji kwa sasa
Kuna tofauti ya kutokuwa na tamaa na kukata tamaa mkuuDah!,sawa mkuu inabid tukupe nchi maana huna tamaa
Kwahyo wew umekata tamaa!?Kuna tofauti ya kutokuwa na tamaa na kukata tamaa mkuu
Mimi nipo tu nasogeza siku🐼Kwahyo wew umekata tamaa!?
Ni biashara gani iliyo kutoa kimaisha na mtaji kiasi gani ulianza nao ?
Utoke uende wap?Hivi kwenye maisha ni lazima kutoka ?
kila mtu anaona ni lazima kutoka ila kiukweli sio kila mtu atatokaHivi kwenye maisha ni lazima kutoka ?
😁😊Jamaa atakua na vinasaba vya kambarage/ tusichimbe madini yetu mpaka watu wetu wawe na elimu/ uwezoDah!,sawa mkuu inabid tukupe nchi maana huna tamaa
hii nimeijua leo,ukiwa na pesa automatic unakuwa na tamaa!!😁😊Jamaa atakua na vinasaba vya kambarage/ tusichimbe madini yetu mpaka watu wetu wawe na elimu/ uwezo
Kaka,
Tamaa HUJA ukiwa na PESA...pesa huleta tamaa.
Period!
Haaahaa,hii nimeijua leo,ukiwa na pesa automatic unakuwa na tamaa!!
😀😀😀acha tu nisiseme🙌🏿😂Ni biashara gani iliyo kutoa kimaisha na mtaji kiasi gani ulianza nao ?
Maneno magumu kaka haya
Watu wanakata Sana Moto ndo maana unapiga hela mkuu😅Mimi biashara ya majeneza ilinitoa kiasi flani
Nilianza na mtaji wa elfu hamsini
Mpaka sasa namiliki branches Dar, Arusha na Office kuu ipo hapa Dodoma na nimeajiri vijana kadhaa ikiwemo mafundi wa majeneza na watu wa marketing
Unarogwa kaka..sisi tuendelee kupiga mishe halal 😁Udalali wa kuwauzia wanakijiji magari mabovu
Maneno magumu kaka haya