MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Nipo bar toka kunakucha kuna mwenye bar kajenga urafiki na mimi eti mimi ni charming ikifika saa saba anauliza kama sijatoka kazini alafu ni mdada nawaza nimshitaki kwa mamawatano asije niiba bureUnarogwa kaka..sisi tuendelee kupiga mishe halal 😁
Muda si mrefu kutoka Sasa naenda kuanza kupiga GAMBE..