Ni biashara gani iliyo kutoa kimaisha na mtaji kiasi gani ulianza nao ?

"Nilianza na mtaji wa elfu 10 na sasa namiliki 8020 Fashion" - Shamimu Mwasha Zeze.

Mimi biashara ya majeneza ilinitoa kiasi flani
Nilianza na mtaji wa elfu hamsini
Mpaka sasa namiliki branches Dar, Arusha na Office kuu ipo hapa Dodoma na nimeajiri vijana kadhaa ikiwemo mafundi wa majeneza na watu wa marketing
 
Watu wanakata Sana Moto ndo maana unapiga hela mkuu๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ