Ni biashara gani iliyo kutoa kimaisha na mtaji kiasi gani ulianza nao ?

Unarogwa kaka..sisi tuendelee kupiga mishe halal 😁

Muda si mrefu kutoka Sasa naenda kuanza kupiga GAMBE..
Nipo bar toka kunakucha kuna mwenye bar kajenga urafiki na mimi eti mimi ni charming ikifika saa saba anauliza kama sijatoka kazini alafu ni mdada nawaza nimshitaki kwa mamawatano asije niiba bure
 
True..

Maisha mafupi hayaa..hapa nasikiliza ngoma za mbele ngoja NIWEKE HAPA ya HARMONIZE _FURAHA 😊😁

Kaka safari ya kulewa ndio imeanzaa muda huu.

min -me
 
True.. Maisha mafupi hayaa..hapa nasikiliza ngoma za mbele ngoja NIWEKE HAPA ya HARMONIZE _FURAHA 😊😁 Kaka safari ya kulewa ndio imeanzaa muda huu. min -me

Hakika hakika ndugu yangu
Hakika hakika ndugu yangu

True..

Maisha mafupi hayaa..hapa nasikiliza ngoma za mbele ngoja NIWEKE HAPA ya HARMONIZE _FURAHA 😊😁

Kaka safari ya kulewa ndio imeanzaa muda huu.

min -me
Noma sana mkuu, unaenda kula vitu pande zip
 
Unawz nipa namb ako mkuu
 
Kama pato lako kwa mwaka ni chini ya USD 10000 kwa mwaka tambua wewe bado ni fukara wa kutupwa.
 
Ngoja waliotoka kimaisha waje
Biashara zote zilizowahi na zinazonipa hela sikuwahi kuziwaza. Huwa zinatokea tu kama ajali. Mwaka 2011 kuna mtu nilikuwa ninamdai 500k sasa kuna siku nilikuwa naenda mji fulani kununua bidhaa fulani niliyokuwa nimeagizwa na anko wangu nikawa nahitaji ile 500k na mimi nijinunulie vitu vyangu binafsi. Yule mdeni wangu akaniambia nitakupa chimbo ambalo utanunua vitu vya anko na utabakiwa na zaidi ya laki 5 na hapo tuwe tumemalizana. Nikasema poa. Nakumbuka nilibakiwa na kama Tsh 700k. Ndo ukawa mwanzo wa kufanya biashara ya hizo bidhaa anko aliniagiza. Ilinilipa sana.
 
Umefunga pm mkali biashara gani hyo aisee nijaribu ninapitia msoto kinoma sahv nimepoteza job niliyokua nayo sahv Nina kama milioni 3 sijui nifanye nini naogopa isiishe bira chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…