Big dady 11
Senior Member
- May 21, 2023
- 109
- 128
[emoji23] wabongo bwana.Nina wazo kabambe la biashara ila niahidi kazi
Hakuna matunda halisi pale ni flavor ya matunda.Juisi za matunda zote za baharesa huwa ananunua matunda yake kwa wafanyabisahara. Hata zile za mananasi, hayo maukwaju na mengine mengine. Muhimu ni kufatilia kwa undani wewe mwenyewe humo viwandani.
Binafsi najichanga hapa kupata mtaji ukifika ninaoutaka naenda palepalr kiwandan kupata neno kwa wahusika. Mana nataka kukusanya ukwaju, na na msimu wa maembe nabeba embe na nanasi.
Nataka kuanza kuyalima kabisa huko mkuranga. Hata Zanzibar watu wanatoboa na biashara hasa za matunda. Huku wanadili na mahoteli
hakuna hiyo biashara....Habari wana jf,
Naomba mwenye business idea ambayo nikiwekeza 30m naweza pata faida ya atleast 5m per month.
Matunda anaweka mkuu. Wewe tembelea hivyo viwanda vyake. Utakuta gari zinasubiria kupimaHakuna matunda halisi pale ni flavor ya matunda.
Fanya hivi mkuu utakuja kutoa ushuhuda! Nina experience ya hii kabisa! Utapata hiyo hela unayotaka bila wasiwasi!Mkuu tafuta wilaya yoyote Tanzania ambayo haijachangamka Wala supply kuwa wengi...nenda azam pakia fullload ya juice mixer energy,malt,ember,ukwaju nakuhakikisha hiyo m5 unaipata oneza hapo ifike m38 maana ndio coast ya semi Zima tan28
Hello ndugu.Habari wana jf,
Naomba mwenye business idea ambayo nikiwekeza 30m naweza pata faida ya atleast 5m per month.