Ni biashara gani inaweza ingiza atleast faida ya TZS 5M kama nikiwekeza TZS 30M?

Ni biashara gani inaweza ingiza atleast faida ya TZS 5M kama nikiwekeza TZS 30M?

Wekeza kwny video production.
Kuna pesa sana..
Nunua vifaa vyote vya production na camera za 4k.
Unakuwa unashoot events(harus n.k) unafanya music videos(bongofreva na kwaya)
Ukiwa na team creative nnaandàa adi movie na tamthilia.. utakula sana pesa za Azam tv na DStv..

ONYO.. uwekezaj huu haulipi gafla bin vuu..
Inahitaji muda miez 3 ad 4 kuanza kuona faida ya uwekezaj wako..
Na faida ni Zaid ya m5 kwa mwez

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Juisi za matunda zote za baharesa huwa ananunua matunda yake kwa wafanyabisahara. Hata zile za mananasi, hayo maukwaju na mengine mengine. Muhimu ni kufatilia kwa undani wewe mwenyewe humo viwandani.

Binafsi najichanga hapa kupata mtaji ukifika ninaoutaka naenda palepalr kiwandan kupata neno kwa wahusika. Mana nataka kukusanya ukwaju, na na msimu wa maembe nabeba embe na nanasi.

Nataka kuanza kuyalima kabisa huko mkuranga. Hata Zanzibar watu wanatoboa na biashara hasa za matunda. Huku wanadili na mahoteli
Hakuna matunda halisi pale ni flavor ya matunda.
 
ukitaka biashara inayo lipa haraka haraka kiasi hicho jua upo katika hatari ya kupoteza pesa haraka haraka pia..
 
Mkuu tafuta wilaya yoyote Tanzania ambayo haijachangamka Wala supply kuwa wengi...nenda azam pakia fullload ya juice mixer energy,malt,ember,ukwaju nakuhakikisha hiyo m5 unaipata oneza hapo ifike m38 maana ndio coast ya semi Zima tan28
Fanya hivi mkuu utakuja kutoa ushuhuda! Nina experience ya hii kabisa! Utapata hiyo hela unayotaka bila wasiwasi!
 
Wewe ni mfanya biashara ? Au unataka kuanza bia$hara ?. Kama wewe tayali ni mfanya biashara kwanini usiiwekeze kwenye iyo biashara ambayo tayari una uzoefu nayo. Na kama sio mfanya biashara kwanini unataka kuingiza mtaji wako wote kwa mkupuo kwenye biashara ambayo huna uzoefu nayo?. Haujawaza itakuaje Kama Mambo yataenda tofauti na ulivyo yapanga ?:
 
Habari wana jf,

Naomba mwenye business idea ambayo nikiwekeza 30m naweza pata faida ya atleast 5m per month.
Hello ndugu.

Huhitaji mtaji (au mtaji mkubwa) kuanzisha biashara.

Bali unahitaji taaluma ya kusoma matatizo ya soko pamoja na namna ya kutatua matatizo hayo.

Baada ya hapo unatakiwa kuweza ku test soko lako bila ya kupoteza pesa nyingi.

Kama soko linalipa, unajikita katika hilo soko na kujenga biashara. Kama hali lipi unaenda kwenye soko jengine.

Unaweza kuangalia video hii kujifunza zaidi:
View: https://youtu.be/oN9ZQWzAoxk?si=e8zdoasxhitqg6fU

Vile vile tunayo kozi ya bure mtandaoni tunafundiaha yote hayo.

Kama utapenda kujisajili unaweza kwenda hapa Wazo Fasta
 
Back
Top Bottom