Hii nakubali kuda Dada hapa kanipiga pesa dah najuuta eti alinikopesha nguo kwa lazima jamani....Mimi namwambia namlipa cash ye kakomaa anikopeshe imeniuma naona kachukua hela za haramuKukopa faida ipo tena faida haramu yaani nguo umenunua buku kumi unauza buku kumi na tano Sema upate wateja waaminifu ukiwaambia siku fulani nakuja kufata pesa yangu hakuna kuzungushana.
Si unataka bodaboda ifanye kaziRaia wa kuwabeba kuwapeleka wapi?
Hahaha unapiga mbishe gani huko Ntwala. Maana naskia kuna mambo ya kichawi sanaMtwara kama dar es mkuu kupo vizuri kabla sijaenda huko nilikuwa nakuchukulia poa ila nilipo peleka biashara aisee kuko poa mno.
Hahahahahaha duh sawa bwanaSi unataka bodaboda ifanye kazi
Uchawi upo kila mahali hiyo sehemu wanaheshimu wageni hakuna zongo 😀😀😀😀Hahaha unapiga mbishe gani huko Ntwala. Maana naskia kuna mambo ya kichawi sana
Uko njema basi, kama ungekuwa upo Daslinga ningekusareBiashara nyingi mzee baba ila nilizo dumu nazo ni biashara ya nguo kwa wanawake,biashara ya vinywaji baridi,kupeleka nguo mikoani n.k
Aisee umeanza kuniandikia ki Arusha nifafanulie hiyo misamiati ya mwishoUko njema basi, kama ungekuwa upo Daslinga ningekusare
Usimkatishe tamaa mpe moyo wa kupambana ...walimwengu Sijui mpoje
Mwl.RCT Tumekuwa wanajumuiya muda mrefu tokea yule bwana alete library ila akakosa nondo,nawe ukampoka usukani...nachokusudia kusema hapa ni kwamba kama umetia sunna kwenye bandiko hili basi ushauri wako nauunga mkono na upite bila kupingwa bila kuathiri vifungu vingine vilivyotumika kutoa uzi huu!Sauda tafuta nafasi kwenye shule za msingi, weke mazingira ya usafi, hii biashara inalipa sana kwa wanafunzi.
hulifanyalo=ulifanyaloAcha utoto kijana,watu wanapozungumzia kuhusu maisha unatakiwa ukae kimya kama hujui hulifanyalo,Ukikua utakuwa na heshama endelea kula kwa shemeji yako
Mkuu yaani na nguvu zako, na ni rejareja na ile risk ya kudhulumiwa au mzigo kutokuisha na pesa yako kutokuwa katika mzungunguko na knowledge yako na muda as well as hii ni fashion kuna watu wanavaa ili waonekane wamevaa vya bei bado unaita ni Haramu !!!!!Kukopa faida ipo tena faida haramu yaani nguo umenunua buku kumi unauza buku kumi na tano Sema upate wateja waaminifu ukiwaambia siku fulani nakuja kufata pesa yangu hakuna kuzungushana.
Kuna fursa gani huko?
Usilogwe...masoko sio mazuri kbs kwa miaka hii...usilime tikiti..Matikiti
Usilogwe...masoko sio mazuri kbs kwa miaka hii...usilime tikiti..Matikiti
Asante mpenziUsilogwe...masoko sio mazuri kbs kwa miaka hii...usilime tikiti..
NzuriDemand, demand, demand......
Biashara ikigoma kwako sio kwamba itagoma kwa mwingine, kuna mtu anaweza kufanya hicho hicho unachofanya wewe meza ya pili yeye akapata na wewe usipate..
theoretically biashara nyingi unaweza kupata hio
practically inategemea mzunguko mfano soda faida haifiki mia kupata 10,000/= inabidi uuze soda zaidi ya mia, vitu kama juice za kutengeneza mwenyewe huenda ,margin ikawa juu zaidi.., kuna watu wanatembeza uji mtaani anauza zaidi ya ndoo za lita ishirini kadhaa..., mwingine hata thermos hamalizi..., chips kuna watu wanamaliza magunia.., mwingine viazi vinaozea kwenye kabati na akiuza sahani tano siku hio anafurahia...
kwa ushauri anza na vitu visiyoharibika kitu kama mmpesa n.k. hata ukipata tshs 2000/ = kwa siku ukiweka na vingine sio haba tofauti na vyakula ambavyo huenda na mtaji ukakata kwa kukosa wateja
biashara ya nguo na vipodozi ni mwendo wa kukopanq tuYeah sasa hivi bado sana na Mimi sipendi mtindo wa kukopana jamani...