kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
ukinunua kumi kopesha ishirini,Kukopa faida ipo tena faida haramu yaani nguo umenunua buku kumi unauza buku kumi na tano Sema upate wateja waaminifu ukiwaambia siku fulani nakuja kufata pesa yangu hakuna kuzungushana.
I did this nilifanya kama wewe uko sahihiKatika hiyo hela...toa hapo 50,000 tu....damka saa 9 usiku Anza safari ya kwenda karume..natumaini mpk kufikia saa 11 Alfajiri utakuwa umeshafika Karume nenda ka point viatu vya mtumba vya kike...maana itakuwa rahisi kuvijua vizuri ni vipi...anza kupitisha mtaani...hautojuta hiyo hela unayoitaja ni faida ya pair moja tu ya kiatu...Muhimu ujue kuchagua. Niliwahi kufanya hiyo biashara ina faida Sana ingawa watu wanawadharau Machinga ila Kuna Siri kubwa wasiyo ifahamu. Kupata faida ya Tsh 40,000 kwa siku ni Jambo la kawaida, muhimu uwe pointer mzuri.
Boss nakuhakikishia kwa % zote biashara ya boda kama unaifanya serious unaweza kulala hata na 20 elfu na zaid kila siku....mm nimeifanya sana na pesa yake ni simple sana kuipata....just uwe na bike nzuri kama boxer or tvs,msafi,mwaminifu na derrva makini....simu utapigiwa mpk utawapa dili wengineMkuu bodaboda inalipa kiasi hiki?
Mkuu hii ni sawa in papers......okay nakubali kama kweli mauzo yataenda unavyotaka daily....but kwa upande wa abiria its like almost daily utapata uhakika wa kuingiza hiyo pesaWatu wa ajabu sana! Elf 8 au 7 kwa siku, Mtaji shilingi 2,400,000..
Hizi ni akili za kilemavu..
Muuza mishikaki anauza stick 100 kwa siku..
Bei ya stick moja ni 200.
Jiko ananunua 25,000
Nyavu 3000
Chumvi 500
Pilipili 1000.
Stick moja ya chuma 200.
Nyama 7,000.
Na anapata 20,000 kwa siku..
Ukitoa matumizi anabaki na 10,000 faida... Anazidi hiyo bodaboda kwa mtaji wa 40,0000 tu...
Aya tuje kwenye mayai ya kuchemsha.
Trei 6,500
Mkaa 1,000
Maji ya kuchemshia 100.
Chumvi 500.
Kwa uuzaji wa kutembeza mtu kiwango cha chini huuza trei 3mpaka 4 kwa siku..
Bei ya kuuzia 400.
Mapato kw trei 1 = 9,600
9,600×4= 38,400.
Mtaji 15,000
Faida 23,400...
Ukimlipa kijana 7000 au hata 10,000
Wewe unabaki 16,000-13,000..
Si faida ya pikipiki mbili hizo, na haiitaji service..
Cha ajabu, Mtaji haufiki 30,000... Mara 90% ya samani ya pikipiki na stress juu...
Kama na wewe unao mchanguo mwingine weka chini.. karibu..
Uko vizuri lakini neno bodaboda kwa wachangiaji naona walimaanisha boxer yaani nguo za ndani na syo pikipikiWatu wa ajabu sana! Elf 8 au 7 kwa siku, Mtaji shilingi 2,400,000..
Hizi ni akili za kilemavu..
Muuza mishikaki anauza stick 100 kwa siku..
Bei ya stick moja ni 200.
Jiko ananunua 25,000
Nyavu 3000
Chumvi 500
Pilipili 1000.
Stick moja ya chuma 200.
Nyama 7,000.
Na anapata 20,000 kwa siku..
Ukitoa matumizi anabaki na 10,000 faida... Anazidi hiyo bodaboda kwa mtaji wa 40,0000 tu...
Aya tuje kwenye mayai ya kuchemsha.
Trei 6,500
Mkaa 1,000
Maji ya kuchemshia 100.
Chumvi 500.
Kwa uuzaji wa kutembeza mtu kiwango cha chini huuza trei 3mpaka 4 kwa siku..
Bei ya kuuzia 400.
Mapato kw trei 1 = 9,600
9,600×4= 38,400.
Mtaji 15,000
Faida 23,400...
Ukimlipa kijana 7000 au hata 10,000
Wewe unabaki 16,000-13,000..
Si faida ya pikipiki mbili hizo, na haiitaji service..
Cha ajabu, Mtaji haufiki 30,000... Mara 90% ya samani ya pikipiki na stress juu...
Kama na wewe unao mchanguo mwingine weka chini.. karibu..
Nunua samaki tembeza mtaani, Mboga za majani tembeza mtaani.
Handeni kuna kuku wengi sana nenda kijiji kinaitwa Kwediboma siku ya mnada jmosi kuku wanauza tsh 4000 - 5000 kuku huyo hapa mjini wamauzwa 10,000 kwa jumla na rejareja 13,000-15,000 tenga moja kusafirisha halizidi tsh 10,000.Nimepiga mahesabu yangu ya maisha, kwa kuanza nahitaji walau elfu 9 Mpaka 10 kwa kila siku niiweke.
Biashara gani itanipatia wastani wa Elfu 9-10 kwa kila siku?
Nataka nijiajiri.
Hapa nina mtaji wa laki mbili cash. Naweza kuongeza hata ikafika laki tatu, ila niwe na uhakika wa kupata elfu kumi kwa kila siku kama faida.
Naweza kwenda kuishi Mkoa wowote Tanzania, ila hela hiyo uhakika wa kuipata uwepo.
Nisaidieni...
Mtaji; Laki mbili
Hela ninayotaka kuingiza; Wastani wa elfu kumi kwa siku.
WANAJUA MKOPESHAJI AKIFA WATABAKI NA PESA...Yaani watu wanapenda kukopa Sijui kwanini doh
Hii ishu hii🤔Uza bangi utatengeneza zaidi ya 50 per day
Kupata boda bora anatakiwa awe na hizo lakini mbili mbili kumiUngekuw na bodaboda Ni uhakika hiyo 7-10
Mkuu bodaboda inalipa kiasi hiki?
Kama unaweza kukomaa na hutaki sound sound ukawa unavimba kiume utaimudu Ila haya madogo ukiyalegezea yatakusumbua sana
Sema kuna watu wa karibu wananitisha unaweza kumpatia kijana boda akakudanganya ameibiwa.