Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Katika hiyo hela...toa hapo 50,000 tu....damka saa 9 usiku Anza safari ya kwenda karume..natumaini mpk kufikia saa 11 Alfajiri utakuwa umeshafika Karume nenda ka point viatu vya mtumba vya kike...maana itakuwa rahisi kuvijua vizuri ni vipi...anza kupitisha mtaani...hautojuta hiyo hela unayoitaja ni faida ya pair moja tu ya kiatu...Muhimu ujue kuchagua. Niliwahi kufanya hiyo biashara ina faida Sana ingawa watu wanawadharau Machinga ila Kuna Siri kubwa wasiyo ifahamu. Kupata faida ya Tsh 40,000 kwa siku ni Jambo la kawaida, muhimu uwe pointer mzuri.
I did this nilifanya kama wewe uko sahihi
 
Mkuu bodaboda inalipa kiasi hiki?
Boss nakuhakikishia kwa % zote biashara ya boda kama unaifanya serious unaweza kulala hata na 20 elfu na zaid kila siku....mm nimeifanya sana na pesa yake ni simple sana kuipata....just uwe na bike nzuri kama boxer or tvs,msafi,mwaminifu na derrva makini....simu utapigiwa mpk utawapa dili wengine
 
Watu wa ajabu sana! Elf 8 au 7 kwa siku, Mtaji shilingi 2,400,000..
Hizi ni akili za kilemavu..
Muuza mishikaki anauza stick 100 kwa siku..
Bei ya stick moja ni 200.
Jiko ananunua 25,000
Nyavu 3000
Chumvi 500
Pilipili 1000.
Stick moja ya chuma 200.
Nyama 7,000.
Na anapata 20,000 kwa siku..
Ukitoa matumizi anabaki na 10,000 faida... Anazidi hiyo bodaboda kwa mtaji wa 40,0000 tu...

Aya tuje kwenye mayai ya kuchemsha.
Trei 6,500
Mkaa 1,000
Maji ya kuchemshia 100.
Chumvi 500.
Kwa uuzaji wa kutembeza mtu kiwango cha chini huuza trei 3mpaka 4 kwa siku..
Bei ya kuuzia 400.
Mapato kw trei 1 = 9,600
9,600×4= 38,400.
Mtaji 15,000
Faida 23,400...
Ukimlipa kijana 7000 au hata 10,000
Wewe unabaki 16,000-13,000..
Si faida ya pikipiki mbili hizo, na haiitaji service..
Cha ajabu, Mtaji haufiki 30,000... Mara 90% ya samani ya pikipiki na stress juu...
Kama na wewe unao mchanguo mwingine weka chini.. karibu..
 
Mkuu hii ni sawa in papers......okay nakubali kama kweli mauzo yataenda unavyotaka daily....but kwa upande wa abiria its like almost daily utapata uhakika wa kuingiza hiyo pesa
 
Biashara inategemea upo sehemu gani kwa maana ya mkoa , mjini au kijijini kwa uzoefu wangu ukiwa Dar hata kuuza matunda ukipata eneo zuri hyo pesa unaipata
 
Watu wa ajabu sana! Elf 8 au 7 kwa siku, Mtaji shilingi 2,400,000..
Hizi ni akili za kilemavu..
Muuza mishikaki anauza stick 100 kwa siku..
Bei ya stick moja ni 200.
Jiko ananunua 25,000
Nyavu 3000
Chumvi 500
Pilipili 1000.
Stick moja ya chuma 200.
Nyama 7,000.
Na anapata 20,000 kwa siku..
Ukitoa matumizi anabaki na 10,000 faida... Anazidi hiyo bodaboda kwa mtaji wa 40,0000 tu...

Aya tuje kwenye mayai ya kuchemsha.
Trei 6,500
Mkaa 1,000
Maji ya kuchemshia 100.
Chumvi 500.
Kwa uuzaji wa kutembeza mtu kiwango cha chini huuza trei 3mpaka 4 kwa siku..
Bei ya kuuzia 400.
Mapato kw trei 1 = 9,600
9,600×4= 38,400.
Mtaji 15,000
Faida 23,400...
Ukimlipa kijana 7000 au hata 10,000
Wewe unabaki 16,000-13,000..
Si faida ya pikipiki mbili hizo, na haiitaji service..
Cha ajabu, Mtaji haufiki 30,000... Mara 90% ya samani ya pikipiki na stress juu...
Kama na wewe unao mchanguo mwingine weka chini.. karibu..
Uko vizuri lakini neno bodaboda kwa wachangiaji naona walimaanisha boxer yaani nguo za ndani na syo pikipiki
 
Nimepiga mahesabu yangu ya maisha, kwa kuanza nahitaji walau elfu 9 Mpaka 10 kwa kila siku niiweke.

Biashara gani itanipatia wastani wa Elfu 9-10 kwa kila siku?
Nataka nijiajiri.

Hapa nina mtaji wa laki mbili cash. Naweza kuongeza hata ikafika laki tatu, ila niwe na uhakika wa kupata elfu kumi kwa kila siku kama faida.

Naweza kwenda kuishi Mkoa wowote Tanzania, ila hela hiyo uhakika wa kuipata uwepo.
Nisaidieni...

Mtaji; Laki mbili
Hela ninayotaka kuingiza; Wastani wa elfu kumi kwa siku.
Handeni kuna kuku wengi sana nenda kijiji kinaitwa Kwediboma siku ya mnada jmosi kuku wanauza tsh 4000 - 5000 kuku huyo hapa mjini wamauzwa 10,000 kwa jumla na rejareja 13,000-15,000 tenga moja kusafirisha halizidi tsh 10,000.

Ukiwa na 300,000 maana yake utapata kuku karibi 60. Kila kuku ukipata faida ya 3000-4000

Utapata kipato cha 150,000- 240,000
 
Tatizo watu wanakubaliana bila kusainishiana mkataba. Andika mkataba wenye kipengele cha: ikitokea boda imeibiwa yeye atawajibika kuilipa na kama akiwa ameibiwa kweli(kuporwa) aruhusu uchunguzi wa polisi na ikibainika kweli afidie nusu ama robo ya gharama ya boda iliyoibwa. Mikataba mambo yote akikuruka unakuwa nao mkataba wa kwenda kumshughulikia kisheria.
Sema kuna watu wa karibu wananitisha unaweza kumpatia kijana boda akakudanganya ameibiwa.
 
Kuna swali wakuu wamekuuliza ungejibia hilo swali tungepata kukupa michongo kulingana na ulipo. Swali lenyewe umeulizwa uko wapi i mean mkoa gani na mji gani? Tuambie tukuonyeshe fursa za ulipo.
 
Back
Top Bottom