Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Yani nina uhakika nayo...maana nimefanya kwa kipindi Kama miezi 6 hivi kama mtu una malengo... unaweza kupata mtaji mzuri tu
Naam wazo zuri sana yaani kwa kifupi vitu vya kike vya kuvaa mfano nguo,viatu,ereni nk vinalipa sana na vinauzika sana hukai na mzigo...wengi wanafail kutokana na connection na kutojituma...

Ila ikumbukwe tu kila biashara INA risk zake na ktk hzo risk zpo zinazoepukika na zisizo epukika,so unapojiingiza ktk biashara jiandaa jinsi ya kupungunguza hzo risks na kukabiliana nazo
 
Anzisha youtube channel, iite 'Vituko uswahilini'. Sasa wewe kazi yako iwe ni kuzunguka uswahili, ukikuta kihoja kirekodi, edit chap chap kwenye simu yako kisha una rushia youtube. Wabongo hupenda vitu vya kijinga kama hivyo, utapata viewers wa kutosha, 7k kwa siku hukosi.
Mkuu naomba nielekeze procedures za kufungua hii kitu!hivi huwa inagharama kuanzisha?na malipo yake wanalipaje yaani kuanzia viewers wangapi ndio wanakulipa pesa?
 
Wapo ma-she wanaoendesha bodaboda so hata ww ungetaka ingewezekana..

Kuhusu kuifanya mie sikushauri ina changamoto nyingi.. Nakueleza hvyo kwakuwa mimi nishaifanya hii biashara tena niliwapa vyombo watu.
Mkuu Mimi niliipenda hii biashara kwa sababu hainipotezei muda wangu zaidi ya kusubiria pesa na mm naendelea na shughuli nyingine.
Je kuna biashara mbadala wa bodaboda ambapo utakaa nyumbani uletewe tu hesabu?
 
Nimepiga mahesabu yangu ya maisha, kwa kuanza nahitaji walau elfu 9 Mpaka 10 kwa kila siku niiweke.

Biashara gani itanipatia wastani wa Elfu 9-10 kwa kila siku?
Nataka nijiajiri.

Hapa nina mtaji wa laki mbili cash. Naweza kuongeza hata ikafika laki tatu, ila niwe na uhakika wa kupata elfu kumi kwa kila siku kama faida.

Naweza kwenda kuishi Mkoa wowote Tanzania, ila hela hiyo uhakika wa kuipata uwepo.
Nisaidieni...

Mtaji; Laki mbili
Hela ninayotaka kuingiza; Wastani wa elfu kumi kwa siku.
Forex
 
Mkuu hunijui.

Nimeuza sana mabanda unayoona yamezagaa pembezoni barabarani na njiani Kariakoo.

Nilikuwa nauza kwa kawaida tu mpaka Tsh 50K-70K kwa siku.

Ukitoa elfu 30 ukanunua vitu vilivyopungua kwenye banda lako unabaki na kama Elfu 30 mfukoni.

- Tena nilikuwa nauza vitu vya kawaida tu kama soksi, boxer, viatu vya ndani.
Ni kweli sikujui mkuu wangu...

Na bado nasisitiza kuandika si sawa na uhalisia. Si kwamba kwakuwa wewe ulifanikiwa basi shurti na mwingine afanikiwe. Na sijajua hii biashara yako uliifanya mwaka gani... Kwa hali halisi ya sasa, kufanya uliyoyafanya wewe na kupata ulichopata wewe... Ni kudra za mwenyezi Mungu tu
 
Hata mm imenishangaza kidogo hadi najiuliza ingekuwa rahisi kupata faida Kama hiyo sidhani Kama Mzee magu angepata lawama kutoka kwa Mtanzania yeyote awamu hii.
Maisha ni magumu sio rahisi kihivyo watu hadi kodi za vyumba zinawashinda.
 
Kuna mahala safi pamechangamka unaweza ukapika supu ya utumbo,kongoro na ndizi

Mahitaji ni meza, vyombo na kununua vyakula ..

Ila biashara inabamba wakazi Wa usiku ...Kuhusu eneo tutaelewana...
Kuna mtu anapika hiyo makitu kituo cha daladala baridi mnazi mmoja huwa naona asubuhi watu wanavyochangamkia hiyo makitu
Huwa natamani nile ila kwa P yangu sitakiwi kukutwa hapo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Pika vitafunwa. Andaa kwenye mazingira safi na salama
Nimepiga mahesabu yangu ya maisha, kwa kuanza nahitaji walau elfu 9 Mpaka 10 kwa kila siku niiweke.

Biashara gani itanipatia wastani wa Elfu 9-10 kwa kila siku?
Nataka nijiajiri.

Hapa nina mtaji wa laki mbili cash. Naweza kuongeza hata ikafika laki tatu, ila niwe na uhakika wa kupata elfu kumi kwa kila siku kama faida.

Naweza kwenda kuishi Mkoa wowote Tanzania, ila hela hiyo uhakika wa kuipata uwepo.
Nisaidieni...

Mtaji; Laki mbili
Hela ninayotaka kuingiza; Wastani wa elfu kumi kwa siku.
 
Aisee umenishawishi hii biashara nilifikilia kuifanya Sema sijapata kijana muaminifu
Kwny kutafuta kijana ndo shida kubwa maana hakuna mwaminifu kila siku atakwambia bodaboda imeharibika hichi, mara nimekamatwa na trafic mara nilikuwa naumwa sijafanya kazi, yaani stress mtindo mmoja na unakuja kutahamaki bodaboda imeshakongolewa ndani ya muda mfupi.
 
Back
Top Bottom