Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Embu nikutajie fursa mbili za kukutoa ila ingekuwa poa kama ungekuwa border Tunduma. Ya kwanza ni kuuza matunda na ya pili kuuza uji. Hi ya uji ni jioni mpaka usiku na asubuhi sana. Hizi ni kati ya biashara ambazo hazihitaji mitaji mikubwa lakini ukiwa na malengo na bidii ndani ya muda mfupi unaweza kununua ka ist ka kuendea kwenu!
 
Nimepiga mahesabu yangu ya maisha, kwa kuanza nahitaji walau elfu 9 Mpaka 10 kwa kila siku niiweke.

Biashara gani itanipatia wastani wa Elfu 9-10 kwa kila siku?
Nataka nijiajiri.

Hapa nina mtaji wa laki mbili cash. Naweza kuongeza hata ikafika laki tatu, ila niwe na uhakika wa kupata elfu kumi kwa kila siku kama faida.

Naweza kwenda kuishi Mkoa wowote Tanzania, ila hela hiyo uhakika wa kuipata uwepo.
Nisaidieni...

Mtaji; Laki mbili
Hela ninayotaka kuingiza; Wastani wa elfu kumi kwa siku.
FOREX
 
Embu nikutajie fursa mbili za kukutoa ila ingekuwa poa kama ungekuwa border Tunduma. Ya kwanza ni kuuza matunda na ya pili kuuza uji. Hi ya uji ni jioni mpaka usiku na asubuhi sana. Hizi ni kati ya biashara ambazo hazihitaji mitaji mikubwa lakini ukiwa na malengo na bidii ndani ya muda mfupi unaweza kununua ka ist ka kuendea kwenu!

Wee!uji ununue ist, ? Ss mbn shogangu anasema umekuwa common nwdys
 
Toyota ist ni kukoleza story tu ndg yangu. Huyo rafiki yako yuko Tdm? Mm nmempa michongo ya hivo nikiwa na uhakika kwamba akiwa na ubunifu kujituma kwa bidii anaweza akawa anaingiza zaidi ya hitaji lake la shs 7000 au 8000 kama alivyotaka.Bado nina uhakika pesa ipo hapa border kwa kazi za hivi japo zipo na kazi nyingine nyingi tu huku.
 
Ah..labda kwa tunduma...dar anasema umekuwa common sana!
 
Embu nikutajie fursa mbili za kukutoa ila ingekuwa poa kama ungekuwa border Tunduma. Ya kwanza ni kuuza matunda na ya pili kuuza uji. Hi ya uji ni jioni mpaka usiku na asubuhi sana. Hizi ni kati ya biashara ambazo hazihitaji mitaji mikubwa lakini ukiwa na malengo na bidii ndani ya muda mfupi unaweza kununua ka ist ka kuendea kwenu!

Apo mwenge kuna jamaa anauza uji elfu 3 kwa elfu 5 na anapiga pesa kwa makadirio tu jamaa anakunja ata 100k kwa siku kama faida sio mauzo nimeweka apa product yake uone ilivyo uji wa mchele uo na anaulezi pamoja na uji wa mahindi na muhogo unaitwa sterk
IMG_0992.JPG
 
Back
Top Bottom