Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

3.Miguu ya kuku/vichwa/utumbo/kuku wa kukaanga

Hii
biashara ni nzuri sana naomba nitakayoyasema hapa msiyadharau au fanya muanze dharau biashara za watu wengine.

Hii biashara ina faida si ndogo iko kama ifuatavyo :

Nadhani umeshapita sana huko njiani ukaona kina mama/baba/vijana wakiuza hivi vitu na wengine wanaamua kuuza kuku kabisa, nadhani umeshawahi ona mtu kafuta meza yake kaipiga kapeti then kajaza kuku pale juu anakaanga na kuuza kuku tu

Wale kuku wanauzwa paja 1500,kidari 1500 unaweza ukashangaa kwanini wauzwe bei rahisi hivyo? wale kuku ni kuku wanaokufa bandani wakiwa kwa wafugaji au wakiwa washafika kwa wauzaji "hawa ni wale kuku wanajifia tu wenyewe bila kuchinjwa kutokana na afya zao kudorora au kukanyagwa na wengine nk nk.

kuku wale wakishafariki hawatupwi,wanachinjwa peke yao,wananyonyolewa utumbo unatupwa miguu vichwa vinabaki,wanauziwa wale wauza barabarani mnaopta mnaona wanauza hvyo vtu.

Kuku huyo anauzwa 2000 kuku mzima kbsa then muuzaji (wewe) unakuja mgawa unamuuza kipaja 1500 so vpande vi 4 unapata 6000.

Kuku wanauzika kwa style hiyo so kama umeamua kutafuta zako maisha "usijali" we ingia mzigoni nunua mahitaji fata mzigo kaanga kuku wako wateja utawapata wengi mpk utwachoka.

Mtaji unaotafuta ukiupata unaweza ukaiacha hyo biashara sasa maana sio biashara endelevu n biashara mtu unafanya basi tu "ntafanyaje na mtaji sina"

Usiogope mbongo hata umwambie kitu flani sio kizuri yupo mwingine atakuja atasema "achana nao" hawajui vitu vitamu hao so biashara hii wateja ni kem kem.

pesa ni aut aut.
 
4.biashara ya kupoint viatu

hii biashara puker anaielewa vyema hakikisha uwe na jicho hasa la kupoint vitu tunaita "sumu" point pea zako 10 tu then ingia mtaani zungusha kiatu utapoint utaknunua 2000 utakiuza 7000 - 8000 ukiona mteja ana pesa ka kaa ki mayai mayai unampa za uso unamuuzia 15,000.

ukijikakamua pea zako 10 zkaisha au ukauza pea 5 tu na uhakika utakua na faida nzuri ambayo si haba kwakweli ila kwa upande wangu katika biashara naziogopa na kuziheshimu ni machinga jamani..

hela unapata sawa ila mtaji wake hii biashara ni MWENDO tu na mimi mwendo ndio sina ki ukweli hii biashara kwa upande wangu ngumu sana,acheni kabsa biashara unamtafuta mteja alipo halafu huna uhakika atanunua au lah.

Bora u machinga wa Uji nauweza ila sio wa vitu vingine,siuwezi kabisa ila kwa wenye mnataka pesa hii pia n option.
 
Mkuu soko letu la kilimo halina utafiti, linabadilika dakika moja. Hebu toa mfano halisi wa kufanya utafiti wa soko then ndio uuze. Labda kuna sehemu tunafeli.

Mfano
Unafanya utafiti wa Tangawizi unakuta bei nzuri Nairobi, Unalima mara Serekali imekataza kuuza Kenya. Hasara

Umesema kweli mkuu, mwaka juzi nililima Mahindi, wakati tunalima soko letu tulilenga kuuza Kenya, wakati wa kuvuna Serikali ikapiga marufuku kuuza Mahindi nje ya Nchi,
Hasara tuliyopata Hatutamani tena kilimo.
 
Karanga pia inabidi kujua aina zipi zinatakiwa manake sio kila aina ina soko la maana. Nisaidie tu namna ya kulima huo ulezi

Ulezi sehem za baridi..njombe huko unakubali..easy tu unalima km unavyolima ngano...unaumwaga...!sijajua sehen za joto .maana ssi tuliulima iringa

Karanga zile red ndgndg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28]bora huyo..kuna mmoja aliingia king akayalima haswa...!akasema atawakusanya wakina mama awape kila mama papai 100!sijui wamletee hela kila mtu 70000!huzo hesabu alikia ananipigia mm[emoji28]!kufupisha stry aliishia kuwa anayaleta kazini watu wanachukua 1 au 2...yakamdodea ....mengine yalianguka na upepo !wal wamama wakamtosa...wakachukua kila mtu 10 tu...!
 
3.Miguu ya kuku/vichwa/utumbo/kuku wa kukaanga

Hii
biashara ni nzuri sana naomba nitakayoyasema hapa msiyadharau au fanya muanze dharau biashara za watu wengine.

Hii biashara ina faida si ndogo iko kama ifuatavyo :

Nadhani umeshapita sana huko njiani ukaona kina mama/baba/vijana wakiuza hivi vitu na wengine wanaamua kuuza kuku kabisa, nadhani umeshawahi ona mtu kafuta meza yake kaipiga kapeti then kajaza kuku pale juu anakaanga na kuuza kuku tu

Wale kuku wanauzwa paja 1500,kidari 1500 unaweza ukashangaa kwanini wauzwe bei rahisi hivyo? wale kuku ni kuku wanaokufa bandani wakiwa kwa wafugaji au wakiwa washafika kwa wauzaji "hawa ni wale kuku wanajifia tu wenyewe bila kuchinjwa kutokana na afya zao kudorora au kukanyagwa na wengine nk nk.

kuku wale wakishafariki hawatupwi,wanachinjwa peke yao,wananyonyolewa utumbo unatupwa miguu vichwa vinabaki,wanauziwa wale wauza barabarani mnaopta mnaona wanauza hvyo vtu.

Kuku huyo anauzwa 2000 kuku mzima kbsa then muuzaji (wewe) unakuja mgawa unamuuza kipaja 1500 so vpande vi 4 unapata 6000.

Kuku wanauzika kwa style hiyo so kama umeamua kutafuta zako maisha "usijali" we ingia mzigoni nunua mahitaji fata mzigo kaanga kuku wako wateja utawapata wengi mpk utwachoka.

Mtaji unaotafuta ukiupata unaweza ukaiacha hyo biashara sasa maana sio biashara endelevu n biashara mtu unafanya basi tu "ntafanyaje na mtaji sina"

Usiogope mbongo hata umwambie kitu flani sio kizuri yupo mwingine atakuja atasema "achana nao" hawajui vitu vitamu hao so biashara hii wateja ni kem kem.

pesa ni aut aut.
Mkuu nawezaepata wapi hawa kuku mfu.
 
Umesema kweli mkuu, mwaka juzi nililima Mahindi, wakati tunalima soko letu tulilenga kuuza Kenya, wakati wa kuvuna Serikali ikapiga marufuku kuuza Mahindi nje ya Nchi,
Hasara tuliyopata Hatutamani tena kilimo.
Hapo Handeni-Tanga wamehamasishwa kulima mihogo kwa ahadi ya Mchina anajenga kiwanda.

Nimetoka huko mihogo hawana pa kupeleka. Kuna mihogo mingi sana.

Kilimo usiwekeze kama una hela hiyo hiyo tu na hauna chanzo kingine.
 
Sasa kun mchizi alisikia hilo katazo akaona apitishe chocho za huko bunda!....njia nzima wnauliza watu wao wanaambiwa njooni tu kuko shwari..alikua na mwezake .lori km 3!anakuambia akamkuta waziri kajaa pale(nimemsahau jina)kifup mahindi yakataifishwa😥😥!yakauzwa kwa wananchi kwa bei ya kutupa!anasema alizika 70m pale pale!huwez amin nimemwajiri nw...analewa tu gongo!
 
Hapo Handeni-Tanga wamehamasishwa kulima mihogo kwa ahadi ya Mchina anajenga kiwanda.

Nimetoka huko mihogo hawana pa kupeleka. Kuna mihogo mingi sana.

Kilimo usiwekeze kama una hela hiyo hiyo tu na hauna chanzo kingine.

Point
 
Sasa kun mchizi alisikia hilo katazo akaona apitishe chocho za huko bunda!....njia nzima wnauliza watu wao wanaambiwa njooni tu kuko shwari..alikua na mwezake .lori km 3!anakuambia akamkuta waziri kajaa pale(nimemsahau jina)kifup mahindi yakataifishwa[emoji26][emoji26]!yakauzwa kwa wananchi kwa bei ya kutupa!anasema alizika 70m pale pale!huwez amin nimemwajiri nw...analewa tu gongo!
Aisee!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kilimo
 
OMG , It Sounds So Scary
 
Apo mwenge kuna jamaa anauza uji elfu 3 kwa elfu 5 na anapiga pesa kwa makadirio tu jamaa anakunja ata 100k kwa siku kama faida sio mauzo nimeweka apa product yake uone ilivyo uji wa mchele uo na anaulezi pamoja na uji wa mahindi na muhogo unaitwa sterkView attachment 1269273
Mkuu ebu naomba kujua hii ishu kwa zaidi
 
Back
Top Bottom