CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
3.Miguu ya kuku/vichwa/utumbo/kuku wa kukaanga
Hii biashara ni nzuri sana naomba nitakayoyasema hapa msiyadharau au fanya muanze dharau biashara za watu wengine.
Hii biashara ina faida si ndogo iko kama ifuatavyo :
Nadhani umeshapita sana huko njiani ukaona kina mama/baba/vijana wakiuza hivi vitu na wengine wanaamua kuuza kuku kabisa, nadhani umeshawahi ona mtu kafuta meza yake kaipiga kapeti then kajaza kuku pale juu anakaanga na kuuza kuku tu
Wale kuku wanauzwa paja 1500,kidari 1500 unaweza ukashangaa kwanini wauzwe bei rahisi hivyo? wale kuku ni kuku wanaokufa bandani wakiwa kwa wafugaji au wakiwa washafika kwa wauzaji "hawa ni wale kuku wanajifia tu wenyewe bila kuchinjwa kutokana na afya zao kudorora au kukanyagwa na wengine nk nk.
kuku wale wakishafariki hawatupwi,wanachinjwa peke yao,wananyonyolewa utumbo unatupwa miguu vichwa vinabaki,wanauziwa wale wauza barabarani mnaopta mnaona wanauza hvyo vtu.
Kuku huyo anauzwa 2000 kuku mzima kbsa then muuzaji (wewe) unakuja mgawa unamuuza kipaja 1500 so vpande vi 4 unapata 6000.
Kuku wanauzika kwa style hiyo so kama umeamua kutafuta zako maisha "usijali" we ingia mzigoni nunua mahitaji fata mzigo kaanga kuku wako wateja utawapata wengi mpk utwachoka.
Mtaji unaotafuta ukiupata unaweza ukaiacha hyo biashara sasa maana sio biashara endelevu n biashara mtu unafanya basi tu "ntafanyaje na mtaji sina"
Usiogope mbongo hata umwambie kitu flani sio kizuri yupo mwingine atakuja atasema "achana nao" hawajui vitu vitamu hao so biashara hii wateja ni kem kem.
pesa ni aut aut.