Dropout
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 641
- 533
Mkuu nmeipenda hiyo aisehMh! Huyo yuko sirius kweli kweli. Kitu inavutia hata kwa macho. Pesa zipo ni ubunifu na bidii ndio vinatuponza. Ahsnte kwa kushare nasi hii kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nmeipenda hiyo aisehMh! Huyo yuko sirius kweli kweli. Kitu inavutia hata kwa macho. Pesa zipo ni ubunifu na bidii ndio vinatuponza. Ahsnte kwa kushare nasi hii kitu.
Nimepiga mahesabu yangu ya maisha, kwa kuanza nahitaji walau elfu 9 Mpaka 10 kwa kila siku niiweke.
Biashara gani itanipatia wastani wa Elfu 9-10 kwa kila siku?
Nataka nijiajiri.
Hapa nina mtaji wa laki mbili cash. Naweza kuongeza hata ikafika laki tatu, ila niwe na uhakika wa kupata elfu kumi kwa kila siku kama faida.
Naweza kwenda kuishi Mkoa wowote Tanzania, ila hela hiyo uhakika wa kuipata uwepo.
Nisaidieni...
Mtaji; Laki mbili
Hela ninayotaka kuingiza; Wastani wa elfu kumi kwa siku.
Yaan alishamiliki 125m...ss hv ukimpa mwekundu anashukuru balaa .inaumza sanaOMG , It Sounds So Scary
Daah haya maisha ni mtihani na msahihishaji Yuko bize anagida Konyagi.Yaan alishamiliki 125m...ss hv ukimpa mwekundu anashukuru balaa .inaumza sana
Mentor wangu anasema “jitahidi kuwekeza sehemu mbalimbali u don't how bad luck you have” 70M mpaka 100M kuwekeza kwenye kilimo yote bila kuwa na kitega uchumi nyuma ni uchizi...binafsi sitawekeza kwenye kilimo mpaka niwe na vitega uchumi at least viwili (2).Yaan alishamiliki 125m...ss hv ukimpa mwekundu anashukuru balaa .inaumza sana
Mentor wangu anasema “jitahidi kuwekeza sehemu mbalimbali u don't how bad luck you have” 70M mpaka 100M kuwekeza kwenye kilimo yote bila kuwa na kitega uchumi nyuma ni uchizi...binafsi sitawekeza kwenye kilimo mpaka niwe na vitega uchumi at least viwili (2).
Akikupa histry yake wala humlaumu kbs..aliuza kila kitu arudi kwenyr status yake ndo akaharibu mazima!Daah haya maisha ni mtihani na msahihishaji Yuko bize anagida Konyagi.
Huu upumbavu wa biashara ya boda boda usije kujaribu yaan ni bora ukabetSema kuna watu wa karibu wananitisha unaweza kumpatia kijana boda akakudanganya ameibiwa.
Unataka aliwe na mabaharia wa maghetoni.Nunua samaki tembeza mtaani, Mboga za majani tembeza mtaani.
Kuzika pesa ukitegemea ifufuke inaitaji moyo wa chuma aisee!Mentor wangu anasema “jitahidi kuwekeza sehemu mbalimbali u don't how bad luck you have” 70M mpaka 100M kuwekeza kwenye kilimo yote bila kuwa na kitega uchumi nyuma ni uchizi...binafsi sitawekeza kwenye kilimo mpaka niwe na vitega uchumi at least viwili (2).
Wapi apate bodaboda ya laki mbili?
AiseehAkikupa histry yake wala humlaumu kbs..aliuza kila kitu arudi kwenyr status yake ndo akaharibu mazima!
Mkuu ebu naomba kujua hii ishu kwa zaidi
Ahsante ndugu, mi nimejaribu kulima hapa geita, yakikubali ntaifanya project kubwa.Yanalimwa Hapo arusha, yanalimwa sanya juu, moshi eneo moja linaitwa Kileo..kilometa chache tu baada ya kuvuka njia panda kama unaenda mwanga, yanalimwa pia Ntukula bukoba huko
Wazee wa kuchoma akaunti na hazina yakeBado hawajataja forex tu!!!!
Nje ya hayo maeneo niliyotaja unapata maharage lakn hayana huo ubora wa hayo maharage..soko kubwa la haya maharage ni dsm...na huku inakuja ile supa tu ..maeneo yenye sifa za kuyazalisha ni hayo niliyo yatajaAhsante ndugu, mi nimejaribu kulima hapa geita, yakikubali ntaifanya project kubwa.
Dar Kuna hela, mkoani utapoteaniko dar sasa hivi, Ila fursa hata ikiwa mkoani nitaifata.
Una mtaji wa kiasi gani mkuu ili tukutajie biashara za kufanya kwa huko Mwanza.Nipe michongo ya Mwanza mkuu
Mkuu angalia spot za kupika chapat dar zilivyo nyingi!(huo ni mfano)Dar Kuna hela, mkoani utapotea
Angalia biashara ndigodogo Tandika, mtoni , mbagala hayo Maeve Yana watu wengi Sana hata ukitaka kukesha utakesha unauza