Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Ni biashara gani ndugu zangu inaweza kuniingizia elfu saba kwa siku?

Uza kuku wa nyama namaana mapaja vidali miguu na vitu vyoote vya kuku na viazi vya kukaanga,, kwa huo mtaji unatosha kabisaa,,tafuta banda si frem itakucost,,
Nimepiga mahesabu yangu ya maisha, kwa kuanza nahitaji walau elfu 9 Mpaka 10 kwa kila siku niiweke.

Biashara gani itanipatia wastani wa Elfu 9-10 kwa kila siku?
Nataka nijiajiri.

Hapa nina mtaji wa laki mbili cash. Naweza kuongeza hata ikafika laki tatu, ila niwe na uhakika wa kupata elfu kumi kwa kila siku kama faida.

Naweza kwenda kuishi Mkoa wowote Tanzania, ila hela hiyo uhakika wa kuipata uwepo.
Nisaidieni...

Mtaji; Laki mbili
Hela ninayotaka kuingiza; Wastani wa elfu kumi kwa siku.
 
Yaan alishamiliki 125m...ss hv ukimpa mwekundu anashukuru balaa .inaumza sana
Mentor wangu anasema “jitahidi kuwekeza sehemu mbalimbali u don't how bad luck you have” 70M mpaka 100M kuwekeza kwenye kilimo yote bila kuwa na kitega uchumi nyuma ni uchizi...binafsi sitawekeza kwenye kilimo mpaka niwe na vitega uchumi at least viwili (2).
 
Its true..dont put eggs in the same basket...!hii ni kwel kbs kbs!
 
Mentor wangu anasema “jitahidi kuwekeza sehemu mbalimbali u don't how bad luck you have” 70M mpaka 100M kuwekeza kwenye kilimo yote bila kuwa na kitega uchumi nyuma ni uchizi...binafsi sitawekeza kwenye kilimo mpaka niwe na vitega uchumi at least viwili (2).
Kuzika pesa ukitegemea ifufuke inaitaji moyo wa chuma aisee!
 
Yanalimwa Hapo arusha, yanalimwa sanya juu, moshi eneo moja linaitwa Kileo..kilometa chache tu baada ya kuvuka njia panda kama unaenda mwanga, yanalimwa pia Ntukula bukoba huko
Ahsante ndugu, mi nimejaribu kulima hapa geita, yakikubali ntaifanya project kubwa.
 
Ahsante ndugu, mi nimejaribu kulima hapa geita, yakikubali ntaifanya project kubwa.
Nje ya hayo maeneo niliyotaja unapata maharage lakn hayana huo ubora wa hayo maharage..soko kubwa la haya maharage ni dsm...na huku inakuja ile supa tu ..maeneo yenye sifa za kuyazalisha ni hayo niliyo yataja
 
Dar Kuna hela, mkoani utapotea
Angalia biashara ndigodogo Tandika, mtoni , mbagala hayo Maeve Yana watu wengi Sana hata ukitaka kukesha utakesha unauza
Mkuu angalia spot za kupika chapat dar zilivyo nyingi!(huo ni mfano)
Ukienda mikoa iliyoachangamka ukaamua kupika bites tu .andaz laiin kitumbua kizuri .samosa...chapati ..ukatengeneza na maharage ya kulia chapat utamake mno !mikoan bites unakula tu mradi unanjaa!..anywys kila mtu na mtizamo wake ..wengne dar tutakuja kushangaa maghorofa
 
Back
Top Bottom